Hasheem thabeet Wifey

Hasheem thabeet Wifey

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,738
Shori Mkali wa HT aiseee jamaa anakula maneno nzuri sana aisee...

New photos of Bee Anderson (girlfriend of Hasheem Thabeet)

Hasheem Thabeet (#34) has a beautiful girlfriend, Bee Anderson (Twitter: loveQueenBee IG: lovequeenbee). As stated on her twitter account, she was a backup dancer for Usher, David Guetta, and The Black Eyed Peas. Here are photos of the beautiful young lady taken from Twitter.com!

Wa kwako yuko wap? je umetumwa uweke pcha zao humu? Mbwiga wewe. Kwi kwi.
 
183255471487178957_7292293.png

Graduate from North Carolina A&T, she is a talented hairstylist and make-up artist. She is involved in community and philanthropy work, you will often see her in Africa in Dar Es Salaam, Tanzania or in the United States involved with many charities
 
picha kaweka mwenyewe twitter mbwiga wewe....after all shori mkali sema kembambaaa.....
afu kafanya mazoezi utoe kitambi hicho mtoto wa kiume/jike
 
Charity is patrician. Mashallah.

I hope she disappoints scandal.
 
Mbona huyo wa kati kati kafanana na memba mwenzetu humu JF ambaye ni mtoto wa aliyewahi kuwa Waziri mkuu wa hii nchi!!
48a0a0e205a511e2a9ed22000a1e8a4d_7.jpg
 
picha kaweka mwenyewe twitter mbwiga wewe....after all shori mkali sema kembambaaa.....
afu kafanya mazoezi utoe kitambi hicho mtoto wa kiume/jike

teh teh teh. Kila siku nakwambia uache umbwiga chalii wangu. Mbona hukui? Umekuwa Le mutuz?
 
Huyu mtoto ndo anamkamua jamaa mpaka anashindwa cheza kikapu!
 
Shori Mkali wa HT aiseee jamaa anakula maneno nzuri sana aisee...

New photos of Bee Anderson (girlfriend of Hasheem Thabeet)

Hasheem Thabeet (#34) has a beautiful girlfriend, Bee Anderson (Twitter: loveQueenBee IG: lovequeenbee). As stated on her twitter account, she was a backup dancer for Usher, David Guetta, and The Black Eyed Peas. Here are photos of the beautiful young lady taken from Twitter.com!

Labda mwenyewe hujijui, lakini ukweli ni kwamba umekuwa ukimfuatilia kwa undani huyu braza kwa muda mrefu sana. Kulikoni?

Una kitu gani kinachokufanya ufuatilie Twitter postings za dume mwenzako kila mara hadi kuishia kuiba picha zake na kuzi-post jukwaani bila idhini yake?

Inaoenekana una hulka za kike wewe! Aibuuuu!!
 
usitake nikutuke tusi la kiungo cha uzazi
 
Mbona huyo wa kati kati kafanana na memba mwenzetu humu JF ambaye ni mtoto wa aliyewahi kuwa Waziri mkuu wa hii nchi!!
48a0a0e205a511e2a9ed22000a1e8a4d_7.jpg

Sura sidhani, ila swagger, copyright ka zile za mtoto wa mbunge wa zamani wa mtera.

Ha ha ha ha ha mamen
 
Na huyo hapo katikati ya picha na vidole viwili ni nani?Au ndo shemeji yake?Manaake ukienda macho juu wanakuchuna ukoo mzima.
 
Good Boy changanya damu, Kutoka mbagala mpaka Amerika, Parefu sana asee.
 
Back
Top Bottom