Hasheem thabeet Wifey

Hasheem thabeet Wifey

Labda mwenyewe hujijui, lakini ukweli ni kwamba umekuwa ukimfuatilia kwa undani huyu braza kwa muda mrefu sana. Kulikoni?

Una kitu gani kinachokufanya ufuatilie Twitter postings za dume mwenzako kila mara hadi kuishia kuiba picha zake na kuzi-post jukwaani bila idhini yake?

Inaoenekana una hulka za kike wewe! Aibuuuu!!

jamaa anataka kumpa HT kale kamtandao kanakoishia chalinze
 
Is this the best hasheem can come up with?

Hairstylist?

Seriously?

Hawa ndio baadae wanakuwa baby mama drama queens
 
Atakuwa gold digger after bball players. Japo hasheem libaya na halina swagger, baby support ndo mpango mzima.
 
kawaida xana wala cjaoona sbb ya kupamba haya maneno kias hki!hata sepet anampiku.
 
picha kaweka mwenyewe twitter mbwiga wewe....after all shori mkali sema kembambaaa.....
afu kafanya mazoezi utoe kitambi hicho mtoto wa kiume/jike



Tuache kusifia visivyo sifika, sasa huyu shorty ana ukali gani au kwa kuwa ni Mmarekani mweusi mnamuona ni mkali? Mbona kisura anapitwa sana na mademu wakali wa hapa Bongo ila sie wale macelebo wa kulazimisha. Huyo demu ni wa kawaida sana hana ukali wowote!
 
Wanaosrma kuwa ni demu wa kawaida naomba waweke picha za mademu zao hapa tucheke
 
Wanaosrma kuwa ni demu wa kawaida naomba waweke picha za mademu zao hapa tucheke

Acha kusifia vitu vya ajabu boss...sasa huyo demu ana uzuri gani huyo? Angezaliwa chanika ndo ungejua alivyo wa ajabu ashukuru kazaliwa mbele anapaka hata ivyo vipodozi...inshort demu sio mkareeee kivile ila kwa HT kipenda roho
 
Tz umbea ndio umefika jikoni hata living room haujafika, all the best hasheem kula raha zako bora huko huko kuliko wabongo na kila siku na stress na kutafuta umaarufu wa kishigongo, naona watu wanatoa negative comment kwa sababu wametoswa mara mbaya mara hana swaga siku hizi hata ukiwa handasome na muosha maiti utapata mwanamke wa ukweli?? nwa kwanza uzuri wa mwanamke au mwanaume uko wapi? landa hapo ndio pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom