Hasheem Thabeet atua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hasheem Thabeet atua

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mchajikobe, Aug 15, 2009.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,390
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi sana kusikia huyu hero wetu amerudi salama TZ,lakini nimeshangazwa namapokezi anayoyapata,vipi kuhusu kaka yetu Ivo Mapunda,wote si walienda kutupa ujiko wa Tz au ndio dereva husifiwa abiria wakifika salama tuu?
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yes nilimwona jana akiwa Airport....naona politics zimeshaanza nillimwona Joe Bendera kaenda kumpokea pale......! Ivi kwa nini watz tunaanza kuwathamini vijana wetu mara baada ya kutoka kwa nguvun zao...mbona like now, zerikali haiwaoni kabisa kina ''Thebeet'' wengine huko mchangani ili wawaendeleze kufikia kwa huyu jamaa?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na huyo waziri akamwambia Hasheem kwamba Rais yuko Dodoma, amefurahia sana achievement yako, na anakusalimia.

  Kweli Politiki zimefunika jambo hili.
  Ha hahaa!
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Ha!ha!ha!ha! mi nilimshangaa sana jana Joel.....! sijui ndo kujikombaa au ndo siasa zinavyokwenda...arrrggrr
   
 5. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamma amealikwa na ubalozi wa USA nayo hii pia siasa acheni kubana wabongo bwana kwa kutoa kasoro kama wao ndiyo wameumwa na mungu kwa ajili ya kazi hiyo
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Aug 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Yes hawa ndio vijana wa kiafrika kukatishana tamaa -- wenyewe hawajiulizi wameifanyia nini nchi hii na jamii yao kazi yao kucheka wenzao , kuzomea wenzao kukatisha tamaa wenzao --------- huo ndio ufisadi mkubwa
   
 7. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tuachane na tamaduni za kwamba kila kitu kinahitaji jitihada za viongozi wetu.Kama kila mmoja wetu ili atoke anahitaji msaada wa Jk nchi tutaipeleka wapi? Wa Tz tujitumie zaidi kuliko kukaa vijeweni kuendeleza majungu. Nimefurahi kama viongozi wametambua jitihada za huyu jamaa,kwenda kumpokea inaonesha wamethamini mchango wake wa kuitangaza Tanzania.
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa viwanja vya udsm leo nikamcheki akila tizi na washkaji. Inapendeza. Jamaa hana makuu
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wun,

  Nakwambiaje, huyo Bendera na viongozi wa serikali wasingeenda airport ungewasikia wabongo wanabonda kwa nini hawajaenda.

  Wengine wana uchu wa ku criticize tu.
   
 10. M

  Mundu JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Yaani, sometimes binadamu hawana wema. Labda kwakuwa ni mtanzania inakuwa nongwa!! kuna mwanamuziki mashuhuri ulimwenguni aliwahi kupokelewa na Waziri wetu wa mambo ya nje na wabongo tukaona sawa tu! May be kwakuwa JF haikuwapo wakati ule.
   
 11. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Jamani hakuna anayependa kuji-associate na failure! Hata ungekuwa ni wewe. Thats a human nature. Kama kijana Thebeet kafanikiwa ni hakika kila mtanzania atapenda kuonekana naye. Kama "ange-flop" hakuna ambaye angependa kuji-associate naye. Its simply a human nature. NA HII INATUKUMBUSHA KWAMBA KILA BINADAMU ANA PERSONAL RESPONSIBILITY YA "KUTOKA" AU KUFANIKIWA.

  Wewe toka..watu wakiona umefanikiwa, watakufuata. Hii ya kusema oohh..sijui Bendera anajikomba au nini..its natural. Hata wewe hapo ulipo..unamuona jamaa kafanya mambo makubwa baada ya kustruggle na kufika alipo. Hakuna anayeuliza Thabeet aliendaje USA..kila mtu haja yake ni kumsifia kwa sababu yupo NBA.

  Ushauri kwa wengine: If you are a failure..no body cares about you na wala hakuna atakayependa kuji-associate na wewe. Leo utawasikia watu wakisema kuhusu Thabeet..."sisi tulijua Thabeet atafika mbali maana alikuwa kijana mwenye adabu na anayeweka bidii katika michezo..kwa hiyo hatushangai". Ila angeshindwa huko aliko jamaa wangesema hivi "Tulijua tangu mwanzo kijana hawezi fika popote..kwanza hakusoma..kwa hiyo hajui anachokifanya"..Folks thats simply a human nature.

  Thabeet: I just wish you all the best in all you are doing. Mungu akutangulie na UWEKE BIDII UTAFANIKIWA.

  Masanja
   
 12. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hahaha, jamaa kala sandals na socks !!!
   
 13. D

  Dally Kimoko Member

  #13
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kina yakhe hawakumsaidia kufika alipofika!Lakini hata ku-acknowledge his achievement pia mnai-question?Nadhani Joel alipaswa kuwa pale...ningeshangaa kama angejikausha.Na ni vyema awatie ari wengine wenye vipaji wajue kwamba si kila kitu kinakuja kirahisi.Ivo M usikate tamaa...nna imani unaweza fika hapo...
   
 14. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha kufanikiwa wala nini. Jamaa kala bingo ya genetics, basi. Ku-dunk basketi kwa mtu wa futi 7 nchi 4 hakuhitaji talent jamani.
   
 15. D

  Dally Kimoko Member

  #15
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thabeet is mainly known for his defence,and being 7ft4 works to his advantage.But he has a talent...not every one who's 7ft4 can play basketbal as he does and defence as him.
   
 16. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  He definitely knew what to expect on his arrival at the airport, but being the freak that he is, he is used to breaking rules and sticking out instead of following rules and blending in like everybody else.

  You see, the dude happens to be a freak of nature. And all true freaks behave the way freaks are supposed to behave. That's why he thinks he can get away by dressing like a slouch in front of hundreds of admirers, government officials, ngoma troupe, and whatnot. Damn!
   
 17. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu mie nafikiri wanao critisize siyo WaTanzania na kuwapo kama mwajamii in this forum siyo lazima uwe MTZ bali kila mtu anao uhuru wa kuwa na uanachama popote pale. Kwa hiyo kama huoni haja ya kumpa sifa Kijana wetu basi wewe beba jembe kalime tuachie mmachinga wetu.

  Ninavyoelewa ni kuwa "mgeni aje mwenyeji apone". Thabith kushuka inawezekana akatoa ofa ya kuendeleza vijana au kuanzisha timu yake au hata kuanzisha chuo. Who knows??.

  Huyo ni hero na anahitaji sifa, Tanzania Hoyeee!!!
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Kwani what is the buzz? Thabeet ni the World Celebrity sasa some of us tunahitaji ku-get it straight kwamba toka ile Ijumaa aliyochaguliwa number two pick ya NBA, mchezo wa maisha yake ulibadilika pale pale yeye sasa haishi tena under the rules applied to me and you yaani walalahoi, forget it!

  - Leo Thabeeet akitaka kwenda White House kumuona Rais wa US, anaweza tena at any of his time hata kwa four hours advanced notice wewe na mimi na hata Rais wetu, hiyo ni ndoto ya alinacha, wacha ya Mfalme Hui hui! Kwa wale mliokuwa hamjui ni kwamba huyu sasa NBA star, maisha yake yanakuwa binded na mkataba wa sheria aliousaini kuichezea timu ya NBA, ile timu ina mamlaka makubwa sana na maisha yake sasa kuliko mtu yoyote mwingine, infact inampatia mpaka washauri wa maisha yake binafsi, maana huyu sasa ni NBA product na kijana mdogo sana, my point ni kwamba tusishangazwe na some of his new behavior and attitude!

  - Again, the kid is Multimillionair in US dollars terms, hivi ni wa-Tanzania wangapi waliofikia hiyo milestone at the age of 23? Hata hao mafisadi hakuna wa hiyo age mwenye kufikia huko, sasa give the kid a respect, yes hajacheza NBA bado kwenye full swing, lakini ameshacheza exhibition matches za NBA na wazungu hawajahi kuwa wajinga wa kumsaini mtu wa kumlipa Dola millioni 4 kwa mwaka bila sababu, hizo huwa ni tabia zetu wabongo, madini ya dola millioni 10 tunalipwa dola laki mbili na nusu tu as kodi.

  - Waziri wa Tanzania kuwepo au kutokuwepo uwanjani kumpokea ni very minor ishu, infact yeye binafsi hatuhitaji tena ila ni sisi ndio tunamuhitaji yeye as a nation kwa sasa Thabeet automatically anakuwa ni balozi wetu at his will tunaweza kumtumia sana kwa mambo mengi muhimu ya kulisaidia taifa letu, na hasa utalii na misaada mbali mbali kwa wananchi walalahoi kutoka huko nje anakoishi, kwa hiyo kuwepo kwa waziri wetu uwanjani ni sawa sawa, infact alihitajika Waziri Mkuu au Rais kuwepo pale, kama Mutombo anapokwenda Zaire, jamaa amejenga Hospitali ya dola Millioni 22 na ni mcheza mpira tu kama Thabeet, Zaire nzima hakuna tena Hospital kama hiyo, sasa unategemea mtu wa aina hiyo apokelewe na nani uwanjani?

  - Kwamba eti serikali inahusika au kutohusika na process ya Thabeet kufikia alipo leo, ni irrelevant to the results serikali yetu haina hata hela za dawa za Malaria itaweza vipi kushugulikia vipaji vya michezo vya wananchi wake? hiyo ni reality ya maisha yetu wabongo una-struggle mwenyewe ukifanikiwa ni haki yako ku-enjoy the results kama Thabeet anavyofanya sasa, work hard on whatever you are doing na wewe itakujia, lakini wivu na chuki haviwezi kukusaidia au kumharibia Thabeet kumbuka amesaini mkataba wa miaka miwili na timu ya Grizzles, kwa Dola karibu Millioni 8 na hizi kwa NBA's rules ni guaranteed money, kwa hiyo hata baada ya hii miaka miwili Thabeet akiamua kutocheza tena he is fine for the rest of his life kama anazo akili za kutunza pesa.

  - Kwamba amevaa au hakuvaa nini that is irrelevant, hakushuka bila nguo na ni sheria ipi ya Jamhuri alivunja kwa kuvaa scandals na sox, atleast hakuwa peku peku kama vijana wetu wengi mitaani Dar, binafsi knowing him perosnally as I do ninaamini kwamba alivaa scandals katika safari nzima kutokana na matatizo aliyonayo ya miguu hasa kwenye vidole vyake vya miguuni tatizo ambalo limemtokea toka udogoni mwake kutokana na kukosa viatu vya size yake hapa bongo, kumbuka the guy anavaa karibu size 22 Tanzania mpaka leo hii hatuna viatu vya hiyo size madukani kwa hiyo maisha yake yote amekuwa akihangaika sana na size za viatu na hivyo kulazimika kuvaa viatu ambavyo ni vidogo, matokeo yake ana some fractions katika vidole vyake vya miguu, ndio maana hata anapokuwa US ni mara chache sana kumkuta amevaa viatu as viatu, muda mwingi huwa anavaa hizo hizo scandals, na hii huwa ni ishu na wachezaji wengi wanaotokea Africa, kwa mfano Hakeem Olajuon, Olowokandi na Mutombo ni mara chache sana kuwakuta wamevaa viatu. Kwa hiyo ninasema kuvaa kwake scandals haiwezi kuwa ni ridhaa yake binafsi kwa sababu huwezi kusema ni "cool" kwa standard za mavazi ya vijana US, isipokuwa ni matatizo yake ya afya tu.

  I mean, wananchi lets give respect where it is due Thabeet is our national hero, hivi umeshasikia Mkenya, Mganda, Mzambia, au Mzimbabwe huko NBA? Tena serikali yetu ni lazima impatie usafiri na ulinzi wa hali ya juu sana kwa muda wote atakapokuwa nchini, na pia serikali itafute mbinu za kibiashara za kisasa za kumtumia ili alisaidie taifa kwa kutumia jina lake, serikali yetu itengeneze stamps za posta zenye picha yake, nasema now!

  Thabeet ni our National hero na he deserves our outmost respect yaani we the people of Tanzania na Africa as a whole! and let the kid be as any other 23 years old kid!

  Respect.

  Field Marshall Es!
   
 19. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133

  chukua 5
   
 20. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  We really respect the dude, lets give props where deserved.
  What about the socks and sandals??? Kwani tungemtaka avae skinny jeans na yeezy airs ndio tumheshimu zaidi?? Kijana amebarikiwa, ana talanta si utani, na ni pride yetu wa Africa kama vile akina Olowokandi na Mutombo, may God keep blessing him and all hard working Africans.
   
Loading...