Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Kikundi fulani wamekuja na hoja dhaifu eti kwanini tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara?

Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi.

Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Any comments?
 
Ni Wazo zuri La ndege ili waruhusu mzunguko wa hela mtaani ili mashetani wengi wapande ndege faida iongezeke maradufu

Faida gani tena akat 2019/20 hasara ni bilion 60
 
pesa lazima kuzitolea jasho, zile za deals sahau, mifumo imewekwa hakuna mianya ya kupeana pesa kiholela. Mathalani, Malipo serikalini sasa unapewa Control # ili pesa iende panapohusika sio mifukoni pa wajanja wachache

Pesa iende kujenga uwanja chato
 
Hilo dreamliner lina madaraja matatu, juzi business class ilikua ina watu hata 20 hawakufika, first class ndio kabisaaaaa...Humphrey polepole mwenyewe alipanda kajamba nani kule, sasa unadhani kwenye dege kama hilo faida huwa ipo kajamba nani....?

Tatizo misukule ya lumumba mnakua na mihemko.....tuendelee kupigia pic economy

Mataga walilogwa
 
Kikundi fulani wamekuja na hoja dhaifu eti kwanini tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara?

Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi.

Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
We jamaa wewe! 132000 ni shirika gani linatoza hiyo bei? Toka fastjet adedi hakuna ndege nafuu bongo
 
Basi sawa acha tuseme hasara ni kitu cha kawaida katika biashara!
Je?, Ndio iwe kwa miaka yote mitano????
Na je huoni kama St. John Pombe alikuwa akituongopea???
Nikupe mfano kenya wana ndege 85+ hivyo hasara yao kwa mwaka huu wa Corona inaweza kuwa kubwa, lakini sisi na vindege vyetu nadhani hasara imekuwa kubwa sana!.

#TuacheUshambaMwendazakeKatuibiaSana
 
Tatizo ni ule uongoo wenu kua shirika lina pata faida kuuubwa, ikafikia hatua eti mnatoa gawio.

Zile girba zenu
 
Kikundi fulani wamekuja na hoja dhaifu eti kwanini tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara?

Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi.

Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Muda mwingine uwe unafikiria kabla ya kupost kitu....
Utakuwa brainwashed hadi lini ndugu yangu???
 
Kikundi fulani wamekuja na hoja dhaifu eti kwanini tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara?

Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi.

Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Usituchanganye we bwana!! Tatizo ni pale mliposhupaa na kutulazimisha tukubali uongo wenu kwamba shirika linatengeneza faida kila siku kumbe mnaficha ukweli wa hasara kubwa mnayotengeneza. Leo mmevuliwa nguo hadharani na ukweli uko hadharani!! Unaongea nn hapa??! Arrraaaa....
 
Huuu uongo wote ulikua wa nini?.wizi tuuu
20210328_163042.jpg
 
Back
Top Bottom