Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Rubbish!
 
Kuna wahuni tunawapa ruzuku two decades now ili waitoe CCM ila wanajambajamba tu Kuna hasara nyingine zaidi ya hiyo nchi hii?
 
Kuna wahuni tunawapa ruzuku two decades now ili waitoe CCM ila wanajambajamba tu Kuna hasara nyingine zaidi ya hiyo nchi hii?
Ruzuku haieleweki inatumikaje CAG kahoji wanabaki kulia lia. Ruzuku hizi zisimamishwe zikalipie mambo yenye tija kwa taifa.
 
Karne ya 21 mtu mwenye akili kama taifa, timamu huwezi kushangilia ndege. Ni kukosa utimamu kichwani! mtu binafsi sawa, siyo taifa! Nyote mmekuwa majuha!
Karne ya 21 ulitaka usifie Mboe kuwa Mwenyekiti wa Maisha?
 
Tatizo mnadhani kila anayeona mapungufu makali/ anayemkosoa JIWE ni UKAWA. Not at all! haya yanayoendelea mwenye akili timamu hata kama yanafanywa na baba yako utamkemea!
Akemewe kununua ndege kwa Shirika la Umma (si binafsi). Hivi angeamua kununua Presidential Jet si ndo mngegoma kula kabisa. #Viva Magufuli Viva#
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
 
Hilo dreamliner lina madaraja matatu, juzi business class ilikua ina watu hata 20 hawakufika, first class ndio kabisaaaaa...Humphrey polepole mwenyewe alipanda kajamba nani kule, sasa unadhani kwenye dege kama hilo faida huwa ipo kajamba nani....?

Tatizo misukule ya lumumba mnakua na mihemko.....tuendelee kupigia pic economy

Inaonekana unapenda kukariri sana nani alikuambia kuwa hii Dreamliner yetu ina 1st class?
 
pesa lazima kuzitolea jasho, zile za deals sahau, mifumo imewekwa hakuna mianya ya kupeana pesa kiholela. Mathalani, Malipo serikalini sasa unapewa Control # ili pesa iende panapohusika sio mifukoni pa wajanja wachache

Na ikishafika huko kunakohusika inafanywaje? Hujayasikia ya Buhigwe mpaka PM akatumbua watu?! Juzi hujamsikia Makamu wa Rais akilalamika kwamba "kuna wanaume huko mikoani na wilayani kazi yao ni kupiga pesa licha ya manenoo mengi makali kutoka juu"!! Unacheza wewe?!!
Wewe sema bora hiyo miradi ijengwe iwepo na kutoa huduma kwa umma kuliko wale waliokuwa wanaziiba zote nchi ikiambulia sifuri.
 
Mleta uzi kabla hujaanza kushambulia watu Kwa ukanda wao ungetuwekea na report ya CAG ambayo iliweka bayana kuwa shirika hili limekua likijiendesha Kwa hasara kubwa na limekua Mzigo Kwa serikali badala yake umetoa maneno kibao ya ushereheshaji pasipokua na fact hayo mashirika ya Rwanda air na mengineyo kabla ya kusifia ungetafuta data za kutosha kwa taarifa yako Rwanda air inapumlia mashine kwa Deni kubwa ililonalo mashirika makubwa Kama hindia air yamejitokeza hadharani na kukili kupata hasara kubwa hadi kufikia kutangaza kuuza ndege zao sasa kwetu sisi ni muda tu ndo utaweka bayana yale tunayoyashangilia kwa sasa maana hadi ni jambo jema kununua ndege ila nafikili hatukua na business plan kabla ya kununua hili andiko tulitunzeni litatufaa siku za usoni
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Sio habari
 
Hivi hamwelewi kwamba hizi nauli ndogo namna hii ni OFA kwa mwezi wa August tu? Na mnadhani dreamliner zitaendelea kuwepo kwenye Dar-KIA-MZA route? Haiwezekani. Faida haiwezi kamwe kupatikana kwenye safari fupi fupi hivyo, Kwa hiyo lazima muelewe kwamba kuanzia mwezi wa September, lazima dreamliner zianze safari ndefu za kwenda kwenye mabara mbalimbali na hazitakuwa tena hapa nchini. Bombardier zitakuwepo kwa bei zile zile za zamani. Nani anabisha?
 
pesa lazima kuzitolea jasho, zile za deals sahau, mifumo imewekwa hakuna mianya ya kupeana pesa kiholela. Mathalani, Malipo serikalini sasa unapewa Control # ili pesa iende panapohusika sio mifukoni pa wajanja wachache
#Hapa kazi tu#
 
Back
Top Bottom