Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Hasara kwa shirika la ndege si hoja

ATC sasa hii sifa Dar-Kilimanjaro=68,000/=??? Hakika precision wakatafute kazi nyingine. Ufipa wamenunia Dreamliner
Madege. Hayana faida na hayatakaa yalete faida akili ndogo haitawali kubwa shirika litakufa soon kama mwendazake asante Muumba
 
Kikundi fulani wamekuja na hoja dhaifu eti kwanini tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara?

Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi.

Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
whats your problem?
 
Inaweza kweli ikawa si hoja. Ninachoshauri, kila kitu kiwekwe bayana na sio kuongelea kwa juu juu kuwa sekta nyingine zinainuliwa kwa kuwa na ndege.
Tuwekewe takwimu za jinsi sekta nyingine zinavyoinuliwa kwa manunuzi ya ndege kwa kutumia hela za kodi za WaTz.
 
Watanzania ni wabishi kwa asili. Tulipokuwa hatuna ndege walitaka ndege sasa ni kukosoa tu. Hongera Mheshimiwa.
Watanzania siyo wabishi kabisa, bali ni walalamikaji wa kutisha. Kulalamika dhidi ya serikali ni jadi yetu, iko kwenye damu yetu kabisa. Mvua isiponyesha tutailaumu serikali, na mvua ikinyesha tutailaumu serikali pia. Tusipokuwa na uwanja mzuri wa mpira tutailaumu serikali na tukijengewa uwanja mzuri tutailaumu serikali pia na kuanza kung'oa viti uwanjani!

lawama ni jadi yetu.
 
Back
Top Bottom