Kweli hasara sio hoja?! Unajua jinsi KQ na SAA zinavyoendeshwa kwa kodi za walalahoi? ATCL itakufa au hata sasa haileti faida yoyote na haitaleta faida kamwe. Wewe subiri uone jinsi wakuwa watakavyoficha ukweli huu kwa kuagiza mabilioni ya walipa kodi kutengwa kuliendesha shirika kihasara. Biashara ya ndege ni ngumu sana siku hizi hata shirika kongwe na maarufu kabisa la ndege duniani THOMAS COOK limekufa juzi na Uingereza haikuweza kuliokoa. Muda utasema ukweli.Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Umefanya uamuzi makiniMm mimehama kukwea PW&FN sasa nitapanda TC kwenye routes zake. Imagine Dar-Mwanza 83,000 Dar-KIA=68,000 tupewe nini watanzania?
Air Tanzania tupo vizuriUmefanya uamuzi makini
Hongera MzalendoMi nadhani sote kwa upamoja wetu tulipaswa kuuvaa uzalendo wa kweli ..silaha ambayo ingetuwezesha kupambania maendeleo ya nchi yetu,kupongezana kwa dhati panapo mmoja wetu kafanya jambo kwa maslahi ya waTZ walio wengi,kurekebishana kiuungwana pasi na kukiuka taratibu za ustaarabu wa mwanadamu pia, kupendana na kuthaminiana.
Tena kwa kipindi hiki nchi nyingi zineathirika sanaHasara ni sehemu ya biashara
Na imekuwa ikiendwshwa kwa hasara miaka mitano nyumaNgoma ATCL imekula hasara ya Bilion 60 kwa mwaka 2019/2020..kudadeki
Tulieni tujenge uchumiNa imekuwa ikiendwshwa kwa hasara miaka mitano nyuma
Wewe njoo ujisome huku uprove right hiyo zero IQ yako.Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Ulikuwa punguani we jamaa, unasifia ng'ombe wa jirani ananenepa wakati anakula mahindi yako shambani.Tuwe wakweli Dreamliner amebadilisha mchezo wa kulangua nauli za ndege domestic routes
Tena kwa kipindi hiki nchi nyingi zineathirika sana
Watanzania ni wabishi kwa asili. Tulipokuwa hatuna ndege walitaka ndege sasa ni kukosoa tu. Hongera Mheshimiwa
Tupende vya kwetu huo ndo uzalendo
Mm mimehama kukwea PW&FN sasa nitapanda TC kwenye routes zake. Imagine Dar-Mwanza 83,000 Dar-KIA=68,000 tupewe nini watanzania?


