Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Hasara kwa shirika la ndege si hoja

pesa lazima kuzitolea jasho, zile za deals sahau, mifumo imewekwa hakuna mianya ya kupeana pesa kiholela. Mathalani, Malipo serikalini sasa unapewa Control # ili pesa iende panapohusika sio mifukoni pa wajanja wachache
Ni kweli usemayo. Pesa yetu inazunguka kwa uhalali hakuna mianya kama ilivyokua kwa serikali iliyotangulia. Mfano zamani kilikua na kununua wapinzani, kuteua na kutumbua, kunyima uhuru wa habari, kauli za kipuuzi (cherehani 4) n.k. kwa kweli sasa hv tuko salama kabisa
 
Tunamshukuru Mwenyekiti hakujifikiria yeye binafsi kujinunulia ndege badala yake akaona umuhimu wa kuwa na shirika la Ndege la Taifa
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Hii kitu nilitaka kuja kuisema humu siku si nyingi, watu wanachunguza mambo mbele ya pua tu. Hongera sana mkuu, utakuwa unaelewa vizuri uchumi
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Je business model yao inasema hivyo?
kama ndivyo kwanini sasa wanatumia nguvu kubwa kuonyesha wanapata faida si waseme ukweli kuwa tumepata hasara hii ila kutokana na hili shirika imefanikisha labda utalii na hiki na hiki ambacho faida yake ni hii imefunika hasara mara 10.
Sasa last time wametuletea usanii kuwa shirika limepata faida mpaka serikali ikapewa mgao, lakini ripoti ya PIC ikaja kuonyesha kwamba wamekula hasara hapo ndipo tatizo lilipo yani ingekuwa limeanzishwa kimkakati na lengo liko wazi basi hata kusingekuwa na shida.
Sasa tunaambiwa kuwa linajiendesha kwa faida wakati halafu ripoti inakuwa tofauti hapo sasa lazima watu wahoji....
 
Kwakweli mi naunga mkono kwenye swala la ndege. Serekali isogeze daladala mpaka karibu na airport zetu zote. Kwa watz wengi, ikwesheni inakataa kubalansi, unashuka kwenye flight ya 70,000 halafu unapanda tax ya 50,000. Shirika linapoteza abiria wengi sana kwa sababu hiyo. Natamani siku mwendo kasi iwe inapigia yutan pale JNIA. Tuisaidie mawazo serekali yetu, jspo watz wengi hatupendi 'kufundishwa' kazi.
 
Watanzania ni wabishi kwa asili. Tulipokuwa hatuna ndege walitaka ndege sasa ni kukosoa tu. Hongera Mheshimiwa
Mwaka Fulani mahujaji walikwama airport Dar kwa kutegemea ndege toka Yemen. Leo hii imebaki historia. #Air_Tanzania_The_Wings_of_Kilimanjaro #
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Hapa ninakusifu tu kwa kuendeleza ukabila kama mnavyowanyanyapaa wapinzani.
 
Back
Top Bottom