Wewe ulitakaje mkuu?View attachment 1135962
Flying Empty.
iwe na mipango na ndege.Wewe ulitakaje mkuu?
Nchi isiwe na ndege?
Mipango kama ipi?iwe na mipango na ndege.
mchana mwema mkuu.Mipango kama ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23]mchana mwema mkuu.
Nipe mifano ya nchi hata tano zilizoendelea ambazo hazina ndegeNilikuwa nataka sekta binafsi iachiwe mambo ya usafiri wa ndege
Nchi ishughulike na mambo ya msingi kama Elimu bora Maji na afya.
Niambie shirika la ndege linalomilikiwa na Marekani au serikali yoyote duniani kwa 100%Nipe mifano ya nchi hata tano zilizoendelea ambazo hazina ndege
Na je kuna tatizo gani litajitokeza endapo tutamiliki shirika kwa 100%Niambie shirika la ndege linalomilikiwa na Marekani au serikali yoyote duniani kwa 100%
Tatizo ndiyo hilo inakuwa hasara inayoruka.Na je kuna tatizo gani litajitokeza endapo tutamiliki shirika kwa 100%
Hata nchi zingine zinapata hasara kwenye mashirika ya ndege na hawaachi sembuse Tanzania?Tatizo ndiyo hilo inakuwa hasara inayoruka.
Cc. Imhotep
Mkuu umewahi kufanya biashara yoyote walau ya mkaa au genge?Hata nchi zingine zinapata hasara kwenye mashirika ya ndege na hawaachi sembuse Tanzania?
Ni mwanzo mzuri mambo yataenda vizuri, kero yangu mimi ni kwamba hizo ndege zetu nauli kubwa sana kuliko mashirika mengine.
Sasa hata nikikwambia nafanya biashara utaelewa nini kupitia hizi feki IDs?Mkuu umewahi kufanya biashara yoyote walau ya mkaa au genge?