Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000[emoji23][emoji23]

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
Kuku robo tatu inatoa vipapatio ,miguu na kichwa tena boiler, wali kidogo, kizazi , sambusa ,nyama kiupande kimoja ya ng'ombe.
 
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000[emoji23][emoji23]

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
Mkuu kama ni ya ndugu yako we changa mle mfurahi! Kama haikuhusu basi we changa tuu unachoweza au potezea!
Kutoa ni moyo wala si utajiri! Anayechanga hamsini elfu hatarajii kula hamsini helfu na anayechanga laki mbili hatarajii kula laki mbili…..kinachofanyika ni kupigana tafu tuuu kama inawezekana!
 
ukumbi 4mln,mapambo 4mln halafu unakuta bibi harusi bado anachart na x wake.

ktk hii michango badala ya watu kujikita kwenye zawadi za makabati na sahani za udongo,wageukie ktk pesa ya mtaji kwa wanandoa.

yaani harusi milioni 6,mtaji milioni 10 watu wanatoka honeymoon wana hii pesa ktk acc.
Hapo kwa X sasa😂😂
 
Kuna namna ndoa za kikristo zimekuwa kasheshe kuzikamilisha kwa miaka hii ya karibuni, yani kwa miaka ya leo ukiwaza ndoa kabla haujawaza michango ya watu basi kima cha chini kabisa uwe na 5M na kama unataka ya kuonekana gharama zinaweza fika hata 15M-40M huko. Ukijifanya kuleta ubahili basi ujiandae kwa masimango kutoka kwa waumini wenzako.

Sasa kwa style hii watu wameamua kuwa wanaitana magetoni tu, ndoa inapita kimyakimya.
 
pesa zao au za michango ya watu!!!
Michango ya watu wanaochangiana walioamua kuwa wanachangiana wewe kinakuwasha nini? Kama huko kwenye makundi yanayochangiana baki na ubwege wako waache wennyewe walioamua na kukubaliana kuwa tutakuwa tunachangiana na viwango wanapangiana

Pilipili shamba wewe inakuwasha nini mshamba wa kijijini porini wewe?
 
Sahani ya 26 labda mnawekewa yulw samak wa coco na mihogo
Kushiba Shiba kwenu sio kwenye sherehe ushamba wako wa kijijini usiuletee mjini kuwa ukitoa laki utakula chakula cha laki ile sio sherehe yako unatoa laki chakula elfu 20 kinachozidi cha wanaooana huko na mambo yao yako mengi

Hutaki usichange baki Peke yako na mambo yako hakuna mtu atakufuata kukuchangisha wala kuja kwenye sherehe yako hata uandae useme mimi sitaki kuchangisha kila kitu nitafanya mwenyewe nialike tu watu waje hawaji utakula mwenyewe usipowachangisha hawaji hawataki kula vya bure nikiwemo mimi siji kama sijachangia .Unataka kutulisha tambiko au kafara? Kula mwenyewe
 
Michango ya watu wanaochangiana walioamua kuwa wanachangiana wewe kinakuwasha nini? Kama huko kwenye makundi yanayochangiana baki na ubwege wako waache wennyewe walioamua na kukubaliana kuwa tutakuwa tunachangiana na viwango wanapangiana

Pilipili shamba wewe inakuwasha nini mshamba wa kijijini porini wewe?
mbona hasira sana dada kwani shida nini??unakaribia kuolewa ama??

mimi nimetoa ushauri kwa jamii ya watu ambayo inakwenda ikistaarabika kwamba si vyema ikaendelea kuishia ktk kuchangia vyakula tu.sio nyinyi mang'ombe hapana. endeleeni na utaratibu wenu wa kuchanga na kununua vyakula mle vyote siku hiyo.
maana labda hamjawahi kula kuku🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom