Walifanya sherehe kama wao kisiwa kinachojitegenea halafu baadaye unakuta mara analia ohh sisi tusiokuwa na connection shida tu hajui hata connection kutengeneza eneo mojawapo ni wapi anatakiwa kuanzia Akiona watu wanalaa vikao na kuchangishana anawaza hela hajui ile ni.part ya kuongeza mtandao na connections nje ya ndugu
Sahani ni ya Chicken fried Rice with Tika mimosa and Calamari garita 😂Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi
Bajeti yao imenichosaha
-Ukumbi Milioni 4
-Mapambo Milioni 4
-Sahani moja bajeti chakula 26,000[emoji23][emoji23]
Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
Kipindi hicho hata sikuwa na kazi rasmi ila wale niliokuwepo kule kipindi hicho, niliwatangazia tu na kuwaalika bila kuwaomba michango.
Misiba wengi hawahitaji michango mfano msiba wa Mwislam utachangia nini msikiti hubeba shughuli waajiriwa msiba hubebwa na waajiri nkMimi nilimuelewa sana mwana fa alisema yeye huwa hachangii harusi bali anachangia misiba, kwa sababu harusi ni jambo ambalo mtu unajipanga unajua kabisa siku fulani nitaoa lakini misiba mara nyingi ni jambo la ghafla, tujitahidi kuishi humo
Wewe jishaue🤣🤣🤣Labda km unatoa mchango laki 2 🤣
Ila 50k ya single? Hapana,, katoliki wanaruhusu kubariki
Mkuu hakusema kwamba anachangia kila msiba, bali anachangia misiba ambayo mchango wake umehitajika, bongo bado watu wengi wanachangisha misiba kama tu wanavyochangisha harusiMisiba wengi hawahitaji michango mfano msiba wa Mwislam utachangia nini msikiti hubeba shughuli waajiriwa msiba hubebwa na waajiri nk
Mfano familia ya Lowasa wamefiwa unategemea watakuchangisha ukiwa jirani yao hakuna.Ila harusi watakuchangisha
Nilihudhuria harusi moja mchango kwa double ilikuwa ni 100k tu. Wakati wa zawadi kamati ya harusi inawazawadia wazazi wa bwana harusi Tsh milioni 4 tayari washawekewa kwenye akaunti. Nilibaki na maswali mengi sana kichwani.Ndoa Si Ndoano Tena Ndoa Sasa Ni Kitega Uchumi
Maandazi mawili haushibi?Uchoyo huo[emoji16]
Brother mbona una haribu hela 🙄🤔upuuzi. harus yangu gharama nyingi milion 2
Huwa nasema siku zote nilipofunga ndoa sikumchangisha mtu so akija mti anayehitaji mchango aje taratibu na apokee chochote nilichonacho nisipangiwe. Kutokuchangiwa sio kwamba namimi sitochangia lakini nisipangiwe Cha kuchangia
Kwakweli pesa natafuta na Sina dhiki ndogondogo ila pesa yangu hauili kijinga kihivyoooo.Vijana tafuteni pesa muache kulalamika
Hakuna historia kwenye harusi acheni kulishana upepoKaka tafuta pesa, 26k ela ndogo sana ya sahani kwa ambae kipaumbel chake ni shererh ya uhakk na ya kihistoria
Yani ukweli ni utumwa mbaya sana Tena wakikuona mchangiajji Kila mchango utaletewa kadi uchangie Kila sherehe utaalikwa Ili mradi uchoke uumwe ufembona hasira sana dada kwani shida nini??unakaribia kuolewa ama??
mimi nimetoa ushauri kwa jamii ya watu ambayo inakwenda ikistaarabika kwamba si vyema ikaendelea kuishia ktk kuchangia vyakula tu.sio nyinyi mang'ombe hapana. endeleeni na utaratibu wenu wa kuchanga na kununua vyakula mle vyote siku hiyo.
maana labda hamjawahi kula kuku🤣🤣🤣.