Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

ukumbi 4mln,mapambo 4mln halafu unakuta bibi harusi bado anachart na x wake.

ktk hii michango badala ya watu kujikita kwenye zawadi za makabati na sahani za udongo,wageukie ktk pesa ya mtaji kwa wanandoa.

yaani harusi milioni 6,mtaji milioni 10 watu wanatoka honeymoon wana hii pesa ktk acc.
Kama unaoa ya nini uchangiwe mtaji kuchangia harusi ni ujinga tu na ushamba michango ni kwa ajili ya elimu ugonjwa misiba basi
 
ukumbi 4mln,mapambo 4mln halafu unakuta bibi harusi bado anachart na x wake.

ktk hii michango badala ya watu kujikita kwenye zawadi za makabati na sahani za udongo,wageukie ktk pesa ya mtaji kwa wanandoa.

yaani harusi milioni 6,mtaji milioni 10 watu wanatoka honeymoon wana hii pesa ktk acc.
4M Kwa mapambo mbona chache sana
 
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000[emoji23][emoji23]

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
aisee.. bado mnachangia harusi tu? huo ni upuuzi na uzwazwa! mtu ukitaka kuoa tafuta hela zako usitusumbue unapokuwa una mgegeda bi harusi unatuita tukusaidie? hovyo kbs
 
Back
Top Bottom