Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

Waambie haina Shaka, na utachangia laki 5 tu.

Kisha kausha, Baada ya hapo kila anaye kupigia mpige block🤒
Hakuna shida jibu utalipata mbele ya safari ukisikia watu wanasema hujafa hujaumbika mbeleni huko utajua.Kuna watu mitaani hata wakifiwa utaona wafanyakazi wenzie tu nao wa kuhesabu hadi hata wao hushangaa huyu mtu vipi mbona msiba hata majirani tu hawapo anaishije mjinga huyu mtaani?
 
Sasa mpaka uni quote Mimi, ili maoni yako yaonekane ??
 
mbona hasira sana dada kwani shida nini??unakaribia kuolewa ama??

mimi nimetoa ushauri kwa jamii ya watu ambayo inakwenda ikistaarabika kwamba si vyema ikaendelea kuishia ktk kuchangia vyakula tu.sio nyinyi mang'ombe hapana. endeleeni na utaratibu wenu wa kuchanga na kununua vyakula mle vyote siku hiyo.
maana labda hamjawahi kula kuku🤣🤣🤣.
Ushauri wako hayakuhusu waachie wenyewe wanaochangiana pesa yao kaa nayo mbali hangaika na zako tuone huo ubahili wako kama utajenga ghorofa la ghorofa kumi
 
Kushiba Shiba kwenu sio kwenye sherehe ushamba wako wa kijijini usiuletee mjini kuwa ukitoa laki utakula chakula cha laki ile sio sherehe yako unatoa laki chakula elfu 20 kinachozidi cha wanaooana huko na mambo yao yako mengi

Hutaki usichange baki Peke yako na mambo yako hakuna mtu atakufuata kukuchangisha wala kuja kwenye sherehe yako hata uandae useme mimi sitaki kuchangisha kila kitu nitafanya mwenyewe nialike tu watu waje hawaji utakula mwenyewe usipowachangisha hawaji hawataki kula vya bure nikiwemo mimi siji kama sijachangia .Unataka kutulisha tambiko au kafara? Kula mwenyewe
Mbona una gubu baya sana🤣🤣
 
mbona hasira sana dada kwani shida nini??unakaribia kuolewa ama??

mimi nimetoa ushauri kwa jamii ya watu ambayo inakwenda ikistaarabika kwamba si vyema ikaendelea kuishia ktk kuchangia vyakula tu.sio nyinyi mang'ombe hapana. endeleeni na utaratibu wenu wa kuchanga na kununua vyakula mle vyote siku hiyo.
maana labda hamjawahi kula kuku🤣🤣🤣.
Huyo anachangisha sendoff, post inamuharibia target zake 🤣🤣
 
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000[emoji23][emoji23]

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000

Umesahau Mc milioni mbili
 
Halafu unakuta mtu ni mnayeheshimiana na inakuwa vigumu kutomchangia.

Pia unakuta bajeti inapangwa inazidi hata kipato cha mhusika[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom