Harusi za sasa zimekuwa za kitapeli sana

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
 
Unapata wali, kuku, pilau, nyama ya ng'ombe, kisamvu, kabichi, tikiti maji, chupa ya maji, stiki, mshikaki na ndizi za kupika, bado unacheka tu!
 
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
Maskini hatakiwi ndoa anatakuwa kuwa padre au sista kanisa katoliki

Waachie Wenye hela waoe na waolewe
 
ukumbi 4mln,mapambo 4mln halafu unakuta bibi harusi bado anachart na x wake.

ktk hii michango badala ya watu kujikita kwenye zawadi za makabati na sahani za udongo,wageukie ktk pesa ya mtaji kwa wanandoa.

yaani harusi milioni 6,mtaji milioni 10 watu wanatoka honeymoon wana hii pesa ktk acc.
 
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
Kumbe hauna uzoefu wewe! Chakula cha elfu 26 kama wataleta makorokocho mengi ni sawa tu.

Hapo kwenye mapambo ndio upigaji umefanyika. Sijajua ukumbi ni huko Dar au au mikoani. Kwa mikoani hiyo 4M ni upigaji pia.
 
Kuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi

Bajeti yao imenichosaha

-Ukumbi Milioni 4

-Mapambo Milioni 4

-Sahani moja bajeti chakula 26,000

Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000
Kaka tafuta pesa, 26k ela ndogo sana ya sahani kwa ambae kipaumbel chake ni shererh ya uhakk na ya kihistoria
 
Back
Top Bottom