kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,343
- 9,661
Mbona bei ndogo mkuu. We toa tu. Waambie wakupe menu ina ufafanuzKuna harusi wameniadd kwenye Group lao. Haloo watu wanapiga pesa sana kwenye hizi harusi
Bajeti yao imenichosaha
-Ukumbi Milioni 4
-Mapambo Milioni 4
-Sahani moja bajeti chakula 26,000[emoji23][emoji23]
Hapo kwnye chakula ndio nimecheka ni sahani ya aina gani iwe 26,000