HARUSI YA YNNAH 06:12:2013. Imevunja RECORD MKOA WA ARUSHA.

hongera sana YNNAH . Upendo na heshma viifunike ndoa yenu
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana YNNAH nakutakia maisha yenye furaha na amani katika ndoa yako.
 
Last edited by a moderator:
Mwacheni afaidi maana tatizo kesho asubuhi ndugu na jamaa wote watajua kuwa YNNAH kafanya mapenzi, it's no longer a secret kuwa dada yako anafanya ngono. Halafu unaenda kumsalimia mshkaji anayekulia dada yako

sio ngono Elli ni tendo la ndoa.. hongera YNNAH!karibu kulala na nguo ukiwa mgonjwa tu vinginevyl kama alivyosema BADILI TABIA...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom