Nyie mpeni hongera tu,
Mngejua NDOA NDOANO
Bado tuna machungu ya kunyang'anywa lool.
YNNAH hongera sana sana sana, salamu kwa shenjeji yetu
Much respect to JF ARUSHA WING also.
Hivi mnasubiri nini hadi leo? Mmenyang'anywa mmetulia tu, au ndio ule usemi wa "usimuone kobe kainamia chini ujue anatunga sheria"? Btw shemeji hajambo.