MZEE WA ROCK
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 622
- 152
kukumbushia mhimu mpwa
mkuu mbona umetoa avatar yako????/ sijapenda kabisa hii kitendo kwa kweri sijui wapi kwa kushtaki nipeleke mashtaka
kukumbushia mhimu mpwa
hongera sana
Karibu chama cha kulala bila nguo
hahaahhaaaaaaaaaaa......... ndio shem mwenyewe, nitafanyaje?Hahahaaaaaaa....hata km ni ka SERENGETI BOY????
Wekeni picha
hahaahhaaaaaaaaaaa......... ndio shem mwenyewe, nitafanyaje?
yani nakuunga mkono jamaa yangu, la sivyo itakuwa tamthilia ya kifilipino, maana angeweka hata msafara wa harusi tuone kama kweli umevunja hyo rekodi.