HARUSI YA YNNAH 06:12:2013. Imevunja RECORD MKOA WA ARUSHA.

Mwacheni afaidi maana tatizo kesho asubuhi ndugu na jamaa wote watajua kuwa YNNAH kafanya mapenzi, it's no longer a secret kuwa dada yako anafanya ngono. Halafu unaenda kumsalimia mshkaji anayekulia dada yako
 
Last edited by a moderator:

Wewe jamaa wewe... very traditional..
 
Last edited by a moderator:
Haijawahi kutokea mkoa na hasa jiji hili kupata harusi kubwa na yenye shamrashamra kebekebe kama ya leo.

Member mwenzetu YNNAH ametoroka rasmi kambi ya mabachela. Bila kumung'unya maneno tumpongeze member mwenzetu kwa furaha.

Picha: PakaJimmy.

Aisee! kumbe ni leo? ntakuwa nimemdis apoint sana ndugu yangu Mwanyasi!

BTW. Hongera sana YNNAH Mungu awe nawe, uwe na mafanikio makubwa + furaha tele.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana YNNAH............we missed it......
 
Last edited by a moderator:
Harakaharaka nakimbilia kufunguaa pos nionee mapichaa ma kila kitu najakuta story isiyo kuwaa na mkamilikoo izi week end bana wachaa watu watooee stress tu
 
Asanteni ndugu Pakajimmy & Arushaone kwa kuhudhuria tukio la kheri la mpendwa wetu YNNA , mungu awajaalie ndoa yao itulie.
 
Back
Top Bottom