Amani itawale sana nyumbani mwao!...Wapate wageni, wakiwemo na Malaika pia!..Wasimfungulie shetani mlango hata siku moja!Nimeipenda sana....Mungu awape maisha marefu ya upendo pamoja
cha kufurahisha hata bibi harusi alikuwa bikra
Hii wedding mnaionaje wadau
i will be back jioni siku njema
cha kufurahisha hata bibi harusi alikuwa bikra