Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!