Harusi kuanza kulipiwa kodi

Harusi kuanza kulipiwa kodi

Wakate na kwenye misiba pia. Kwani kuna kuchangishana nako
 
Ukiona kodi zimeanza hata maeneo ambayo wengi hawaya mudu ila wachache tu mpaka baadhi ya makanisa nimeshuhudia yana waandalia na kugharamia baadhi ya harus za vijana wao ambao ni waumini wao bas hiyo ni dalili kuwa hali ya nchi sio nzuri,uchumi umeyumba sana, sema watu wamezubaishwa na upepo wa kusifia mtu. Nadhani hii ni kwasababu tumenyimwa misaada na baadhi ya nchi wahisani so serikali inahaha kutafuta fedha hata zile ambazo haikutakiwa ifuatilie yenyewe inahangaika nazo. Yani saiz hata kosa dogo tu ambalo lingemalizwa huko ngazi za chini utakuta linafatiliwa na kuzingatiwa hata kiongozi wa nchi. Du!
 
Namkumbuka jk yeye humuoni akifuatilia mambo madogomadogo na kuyazingatia ,tena sometime alikuwa anafanya hivyo hata kwa kwa mambo makubwa yanayohusu nchi mpaka taasisi zinapiga kelele kwa nini haongelei nahapo ndo alikuwa anakosea, tena sio jk tu hata mkapa humkuti akiongelea kwenye media ishu ndogo ambazo zinamalizwa huko chini, sasa huyu anazingatia vitu vidogo na kwa mwendo huu baada ya miaka kumi atakuwa kazeeka sana
 
Hii sio kweli, kama ni kweli basi jokery ..kituko cha mwaka 2016.. Wamekosa ubunifu na hawaoni mbali ...mimi sitaki kuamini bado kama serikali ina mpango huo.

Kwa nini hili ni kituko cha mwaka?
Mosi Harusi zinalipa kodi labda mahari ndio hailipiwi. Arusi zinafanyika kwenye ma Hall ambayo yanalipa kodi.
Harusi wafanya mapambo kwa makampuni yalosajiliwa
Arusi wananunua vinywaji vinavolipia ushuru
Arusi wana chapisha kadi xinazolipiwa kodi
Arusi wana kodi magari yanayolipiwa ushuru
Karibu kila jambo la Arusi linalipiwa kodi , sasa wazo hili sijui linataka kukata kodi kwenye sehemu gani

Kwa ukweli Taifa lolote imara lenye maadili mema linapatikana kutokana na ndoa zinazo tambuliwa ambapo familia hules watoto ambao baadae huwa ndio viongozi wa Taifa. Ndoa ndio msingi wa kukuwa kwa watu . Bila wayu hakuna Taifa. Hivyo Ndoa sio jambo la anasa ni la lazima la kufa na kupona. Wenzetu nchi nyengine ili kulinda maadili mema serikali zao hutoa funds kwa vijana wanao taka kuoa...wengine husaidiwa hata nyumba za kuanza maisha na wengine hupewa bure gharama zote za Arusi. Yote haya ni kwa nia ya kujenga taifa lenye maadili na kuepusha watoto wa mitaani.

Unapo anza kuweka gharama katika ndoa kwa njia ya kodi ina athari sana kwa vijana kukaa bila ya ndoa , na wengine kuamua kukaa ma baro baro bila kuoa.

Kama ni ukweli basi ni upotevu . Viongozi wa dini walikemee serikali inapaswa kuhimiza ndoa ..kuondoa uchafu katika jamii na kupunguza ukimwi. Ikiwezekana ichangie gharama za arusi hata kwa mikopo..

Hivi serikali zetu zina ogopa nini kuangalia upya sera za madini na kuweka mipango madhubuti ya kupata faida zaidi huko ? Kila kiongoxi akija anakuja na sera za kukamua raia ...huku kwenye madini gas wapo kimya kabisa na hakuna mwenye uchungu kabisa..mna faidikia huko .
Kama kweli hilo la kodi ya arusi ni upotovu mkubwa kabisa ambao haujawahi kufanywa

Mbona mshahara unakatwa kodi licha ya kuwa ukiupata utafanya manunuzi na mahitaji mengine ya kila siku... Jenga hoja yako upya
 
Kwahyo kila atakayekuwa anaatend aruc na yeye atapashwa kulipa kodi?

Kumbuka mfanyakazi anagenerate income while haruc zinafanya expenditure ambzo znakuwa zimeisha lipiwa kodi. Sasa utakataje kodi kwenye expenditure?
kwani wanaolipia harusi wote ni wafanyakazii?
 
Namkumbuka jk yeye humuoni akifuatilia mambo madogomadogo na kuyazingatia ,tena sometime alikuwa anafanya hivyo hata kwa kwa mambo makubwa yanayohusu nchi mpaka taasisi zinapiga kelele kwa nini haongelei nahapo ndo alikuwa anakosea, tena sio jk tu hata mkapa humkuti akiongelea kwenye media ishu ndogo ambazo zinamalizwa huko chini, sasa huyu anazingatia vitu vidogo na kwa mwendo huu baada ya miaka kumi atakuwa kazeeka sana
you made ma day! haaaa haaa ko ukufuatilia mambo mandogo ndo utazeeka mapema?
 
you made ma day! haaaa haaa ko ukufuatilia mambo mandogo ndo utazeeka mapema?
Unapofatilia mambo madogo ambayo yangemalizwa na wasaidizi wako maanayake unatumia akili nyingi kufikiri mambo mengi sna ambayo yangetatuliwa hukohuko chini . Sasa ukiletewa na mambo makubwa yanayo husu nchi kwa ujumla amabyo wewe kama koliongoz unatakiwa kutatua ,niwazi utajikuta un over work ubongo na hivyo mwili utachakaa mapema sna (kuzeeka). inasemakana bora uchoke mwili kuliko kuchoka akili kwani mwili unarestore nguvu kwa haraka kuliko akili. Mfano ishu ya trafiki na mtumia barabara inazingatiwa na rais hadi kuongelea kwenye vyombo vya habari. Hiv hakuna mambo muhimu ya kutumia muda kufikiri hanahusu wa tz zaid ya 40 milion. Hata ndani ya nyumba baba/ mwanaume kila kitu anafanya yeye na kufatilia ,nini kazi ya mke sasa ndani hapo inakuwa kero.
 
Hii sio kweli, kama ni kweli basi jokery ..kituko cha mwaka 2016.. Wamekosa ubunifu na hawaoni mbali ...mimi sitaki kuamini bado kama serikali ina mpango huo.

Kwa nini hili ni kituko cha mwaka?
Mosi Harusi zinalipa kodi labda mahari ndio hailipiwi. Arusi zinafanyika kwenye ma Hall ambayo yanalipa kodi.
Harusi wafanya mapambo kwa makampuni yalosajiliwa
Arusi wananunua vinywaji vinavolipia ushuru
Arusi wana chapisha kadi xinazolipiwa kodi
Arusi wana kodi magari yanayolipiwa ushuru
Karibu kila jambo la Arusi linalipiwa kodi , sasa wazo hili sijui linataka kukata kodi kwenye sehemu gani

Kwa ukweli Taifa lolote imara lenye maadili mema linapatikana kutokana na ndoa zinazo tambuliwa ambapo familia hules watoto ambao baadae huwa ndio viongozi wa Taifa. Ndoa ndio msingi wa kukuwa kwa watu . Bila wayu hakuna Taifa. Hivyo Ndoa sio jambo la anasa ni la lazima la kufa na kupona. Wenzetu nchi nyengine ili kulinda maadili mema serikali zao hutoa funds kwa vijana wanao taka kuoa...wengine husaidiwa hata nyumba za kuanza maisha na wengine hupewa bure gharama zote za Arusi. Yote haya ni kwa nia ya kujenga taifa lenye maadili na kuepusha watoto wa mitaani.

Unapo anza kuweka gharama katika ndoa kwa njia ya kodi ina athari sana kwa vijana kukaa bila ya ndoa , na wengine kuamua kukaa ma baro baro bila kuoa.

Kama ni ukweli basi ni upotevu . Viongozi wa dini walikemee serikali inapaswa kuhimiza ndoa ..kuondoa uchafu katika jamii na kupunguza ukimwi. Ikiwezekana ichangie gharama za arusi hata kwa mikopo..

Hivi serikali zetu zina ogopa nini kuangalia upya sera za madini na kuweka mipango madhubuti ya kupata faida zaidi huko ? Kila kiongoxi akija anakuja na sera za kukamua raia ...huku kwenye madini gas wapo kimya kabisa na hakuna mwenye uchungu kabisa..mna faidikia huko .
Kama kweli hilo la kodi ya arusi ni upotovu mkubwa kabisa ambao haujawahi kufanywa

Kuna tofauti kati ya ndoa na harusi..!
 
Kodi ya kichwa irudi...usipo lipa wakukate kichwa
 
Una ujua na una uhakika wa vigezo wanavyotumia hao waingereza??

Pia ujue pato la mtanzania na muingereza tofauti kwa maaana ya huduma zitolewazo na serikali.

Mtanzania akiugua anatakiwa akatibiwe uingereza na siyo wote only viongozi ila siyo muingereza kuja Tanzania.

Huduma nyingine zote siyo km zetu ukiachilia mbali pato ambalo ni stable na la juu compared to us.
Mkuu unadhani mi sojui maisha yetu wote ?mi pia naguswa Kama wewe. Hakuna namna tutathubutu bila kulipa kodi.kodi haikwepeki an sasa
Una ujua na una uhakika wa vigezo wanavyotumia hao waingereza??

Pia ujue pato la mtanzania na muingereza tofauti kwa maaana ya huduma zitolewazo na serikali.

Mtanzania akiugua anatakiwa akatibiwe uingereza na siyo wote only viongozi ila siyo muingereza kuja Tanzania.

Huduma nyingine zote siyo km zetu ukiachilia mbali pato ambalo ni stable na la juu compared to us.

Hi big mind. Kama kweli ni big mind inabidi uelewe ninachisema. Haijalishi tuna hali Ngumu kiasi gani Bado tunalipa kodi.fikiria kilato cha nurse ama mwalimu wa kawaida Ila ndo walipa kodi wa nchi yetu. Using your big mind nipatie figure ya maarusi wanachangiwa kiasi gani kutoka disposable income za watu bila shuruti.MC analipwa kiasi gani in a single day .na hao wenye kumbi wanatoza kiasi gani the uje unambie Kwa nini unadhani mwalimu alipe kodi ilhari hao hawalipi??. Wewe unajua Kuwa mwingereza yuko fair kuliko TRA maana huwezi kulipa Kama haujapata faida na simetimes unabenefit Kwa loss yako.hiyo michango ya arusi Inaingia Kama inheritance tax ambayo unalipa Kama ukifa ndani ya miaka saba na ikishapita ulipi . Kwa
Una ujua na una uhakika wa vigezo wanavyotumia hao waingereza??

Pia ujue pato la mtanzania na muingereza tofauti kwa maaana ya huduma zitolewazo na serikali.

Mtanzania akiugua anatakiwa akatibiwe uingereza na siyo wote only viongozi ila siyo muingereza kuja Tanzania.

Huduma nyingine zote siyo km zetu ukiachilia mbali pato ambalo ni stable na la juu compared to us.
Ndugu AKILI KIBWA. Ka nchi Ketu kweli ni kachanga nakiri ila uchanga hautuondolei kulipa kodi.hakuna mamlaka yaliyosema kwa uchanga wetu wa huduma tusilipe kodi kwani sasa mpaka Mwisho wa dunia tukiwa wachanga. Walimu na ma nurse wa nchi yetu pamoja na shida Zao ndo Hawana ujanja wa kukwepa kodi. Bwn AKILI KIBWA naomba Kwa kifupi Tu unidadavulie kiasi gani maarusi wanatengeneza, Bila kusahau MC, wapambaji na wakodisha kumbi. Waburudishaji nk ndani ya masaa halafu utoe maelezo ya kina Kwa nini nurse wetu na mwalimu walipe na hawa jamaa wasilipe.
Kwa kukusaidia hints Tu hizi pesa Mara nyingi ni disposable income za watu na hizi ndo za kukamuliwa kuliko hawa walalahoi wengine.

Mwingereza unaemsema yuko fair sana masuala ya kodi Kwa mfano huwezi kutozwa kodi nje na faida yako na Mara nyingi unajikadiria na Kama una loss Mara nyingine una benefit Kwenye loss yako na zaidi Kama sikosei michango Kama ya arusi unakuja Kwenye zawadi chini ya inheritance tax ambayo huwezi lipa unless aliyezawadia amekufa ndani ya miaka 7 na ikipita ndo imetoka. Wenzetu hata Kama haiji akilini pesa wanaiwekea mazingira yasiyoshangaza mpaka waipate. Rwanda kwenyewe ukiona maendeleo yao hufanyi hayo mazingaonbwe yaliyojaa nchini kwetu . Ikishatuingia akilini Kuwa any gain in income lazima ilipiwe kodi haitasumbua .

Maajabu ya dunia nchi yetu kila mmoja anatamani tuwe Kama Marekani Ila tusiguswe Kwenye kodi hizi ni ndoto za mchana . Big brain usione vyaelea............
 
Mbona mshahara unakatwa kodi licha ya kuwa ukiupata utafanya manunuzi na mahitaji mengine ya kila siku... Jenga hoja yako upya

Mshahara ni income...hapa hakuna income . Funds za michango hili ni sawa na michango ya msiba.
nayo tuitoze kodi lipo sawa na hii hakuna tofauti kabisa
 
Bile bile kuna tofauti kayi ya msiba ba kuzika...
Nayo tuyatoze kodi as yapo sawa na Arusi ni michango na watu kula ubwabwa...

Kifo,msiba na kuzika vyote hivyo ni majonzi wakati harusi ni sherehe na anasa..!kila mtu ata kufa ila siyo kila mtu atafanya harusi..Harusi ni uamuzi binafsi wa kufanya starehe..!
 
Back
Top Bottom