Wewe mapupu yana tofauti NTU na NTU wewe unadhani kinyesi Cha mlevi ni sawa na kinyesi Cha aliekunywa maji mengi mbona tuko zaidi ya sita LAKINI YEYE TU NDO shida.Shida ni ofisi yako ipo jirani na choo , na shida sio huyo binti , ulitaka mapupu yanukie keki?
Harufu nzuri ni sehemu ya hadhi na ustaharabu kwa waarabu , hii ya wananuka ni nimeisikia kwako leo
Yah , nawanajua kuchanganya manukato ya kunukia harufu nzuri , waarabu usafi na kunikia vizuri, kuvaa Vito vya thamani wapoo vizuri mnoSahihi mkuu. Waarabu na marashi/manukato wapo vizuri sana.
Umewahi kuwa nao karibu?Harufu nzuri ni sehemu ya hadhi na ustaharabu kwa waarabu , hii ya wananuka ni nimeisikia kwako leo
Ofisi yako ipo karibu na choo, halafu unafosi watu wanye mapupu yanayonukia vizuri upo sawa sawa kweli wewe?Wewe mapupu yana tofauti NTU na NTU wewe unadhani kinyesi Cha mlevi ni sawa na kinyesi Cha aliekunywa maji mengi mbona tuko zaidi ya sita LAKINI YEYE TU NDO shida.
Yah , nawanajua kuchanganya manukato ya kunukia harufu nzuri , waarabu usafi na kunikia vizuri, kuvaa Vito vya thamani wapoo vizuri mno
Waarabu watoe kwenye kunuka , labda unawachanganya na wahindiUmewahi kiwa nao karibu?
Tanga🙌🏿🙌🏿 fumbu inasuguliwa na chicha mpaka inaimba yenyewe. anameremetaa😂😂😂DODOKI lilikuwa sio poa mkuu!
Chicha la nazi freshi, lina mafuta yale hatari, hata kama mtu ana shimo la hewa, anatakata sio poa. 😁
Nimecheka sio poa! Nitarudi ngoja nifanye kazi za watu mkuu. 🤣
Neno "udhu" ni lugha gani mkuu?? Hembu google uone.Kiislamu kinatumia lugha gani mkuu?
Maana hakuna lugha ya kiislamu.
Hahah nimefanya nao kazi nawajua vizuri sana! Ila tusibishane kila mtu aamini anachokiamini!Waarabu watoe kwenye kunuka , labda unawachanganya na wahindi
Neno "udhu" ni lugha gani mkuu?? Hembu google uone.
Tuje hata kwa jamii za hapa bongo walioishi na Waarabu mfano warangi , na jamii za Zanzibar ni wasafi mno , wadada wakirangi mda wote wa ng'aa na kunukia kama waridi, ndala inasuguliwa ing'aa , kajipara na uwanja , mtoto ananukia uturi kama maimunaHahah nimefanya nao kazi nawajua vizuri sana! Ila tusibishane kila mtu aamini anachokiamini!
Tanga🙌🏿🙌🏿 fumbu inasuguliwa na chicha mpaka inaimba yenyewe. anameremetaa😂😂😂
Ni yale maji meupeKuna siku nili suffocate kwenye daladala😖
Jhanaba ndio nini?
OkLabda shadeeya atajibu kama ni misiki
Kweli mambo ni mengi! Ofisini kabisa😱Ofisini watu wanajifutaa tuu😀
Hahaa basi sawa!Tuje hata kwa jamii za hapa bongo walioishi na Waarabu mfano warangi , na jamii za Zanzibar ni wasafi mno , wadada wakirangi mda wote wa ng'aa na kunukia kama waridi, ndala inasuguliwa ing'aa , kajipara na uwanja , mtoto ananukia uturi kama maimuna