Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,595
Ngoja tum google, huenda wazee wetu walikuwa wanatupiga fix sana.Haha hivi mkuu hii ni myth au ukweli ?? Kicheche anaitwaje kwa kingereza tu mgoogle hapa tujue tabia zake
Mimi nimewahi kuona nyoka mkubwa chatu,bonge la mto Rukwa. Alikuwa anidake kilichonisaidia ni mto,yeye alikuwa upande wa pili wa mto,mto haukua mkubwa ula maji yalimzuia kunifuata. Harufu inaweza isiwe ya ubwabwa pia inaweza kuwa harufu ya nyama kama buchani.Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
Duh!Mimi nimewahi kuona nyoka mkubwa chatu,bonge la mto Rukwa. Alikuwa anidake kilichonisaidia ni mto,yeye alikuwa upande wa pili wa mto,mto haukua mkubwa ula maji yalimzuia kunifuata. Harufu inaweza isiwe ya ubwabwa pia inaweza kuwa harufu ya nyama kama buchani.
Ile picha sitokuja isahau maishani.
Ni hatari sana ndugu yangu. Niliwahi elezwa na mzee kuwa chatu anaweza kumeza mamba saizi ya kati. Emagine,mamba anababwa/coiled na anamezwa vizuri tuu.Duh!
Ubwabwa hapana sijawahi ila hili la viazi nishashuhudia tuambiweWakati mwengine unaweza pita katika mti mkubwa, pori au hata kichaka ukasikia harufu ya viazi vinapikwa.....je, ni nini?
Mimi nilisikia kuwa ukiona hivyo ujue kuna nyoka mkubwa anajivua gamba.Hata mimi najua hivyo kua ukihisi harufu hiyo basi hilo eneo litakua na nyoka mkubwa.
Utakuwa hujipendi wewe.Mkuu Me sitakimbia nitaifuata harufu ya wali nikiwa na ndizi, pilipili na pepsi ya baridi.
Hasa wa kijaniMimi nilisikia kuwa ukiona hivyo ujue kuna nyoka mkubwa anajivua gamba.
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji216] [emoji216] [emoji216]
Kwa jicho la kiroho?
Mkuu iyo ni njaa tu! Shiba pilau yako vizuri kunywa na kandoro alafu ingia mabwe pande kama utasikia iyo kitu.
Kisha akaonja joto ya jehanam
Pale ambapo tembo hakuiogopa harufu ya wali
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kisha akaonya joto ya jehanam
"Ungepeleka sahani upakuliwe share yako"Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr