Harufu ya ubwabwa porini

Harufu ya ubwabwa porini

Mie nakumbuka zamani nilikuwa naambiwa eneo hilo lina nyoka anayejivua gamba wakati huo!
Kweli mkuu hasa kwa sisi wakulima na wafugaji hiyo harufu kawaida sana porini ni nyoka anajivua gamba tena wa kawaida tu wala sio chatu
 
Aisee kwa nyoka sikubali
Labda miti mie Niko huku mbwinde kila siku nikipita huu Msitu kwenda kazin hiyo harufu naiskia
 
Ni mchanganyiko flani wamimea iliopo hapo hutoa gas/hewa ambayo inaleta mnukio huo sio vinginevyo. kama ingekuwa nyoka basi kwenye mashimoyao harufu hiyo ingekuwepo sana au mapangoni wanapoishi
 
nililithibitisha hilola harufu hiyo kuhusiana na uwepo wa nyoka. ilikuwa hifadhi ya serengeti. hakuwa mkubwa sana. wamasai tuliokuwa nao walirusha jiwe kwenye kichaka tulichohisi alipo huyo nyoka (ilipokuwa inatokea hiyo harufu) na tulishuhudia akikimbia
 
Harufu y'a wali wa nazi haitokani n'a nyoka wala mashetani. Ni Harufu inayotokana n'a jamII fulani y'a miti hasa Nyakati za usiku n'a Jioni kwa Maeneo yenye misitu y'a kawaida. N'a Maeneo y'a misitu minene hâta mchana yaweza tokea.
Chanzo ni dark n'a Light réaction yaani mimea inapopumua n'a kutengeneza chakula châke yenyewe ikiwa wakati wa usiku au mchana.
Wakati wa mchana inatumia mwanga wa jua, n'a carbon dioxide kuzalisha chakula wakati huu Majani hutoa oxgen kwa wingi hapa huwezi hisi harufu Kwakuwa oxgen haïna ukakasi puani.
Usiku miti inatoa carbon n'a inatumia oxgen hapa sasa carbon inapozidi hureact nabaadhi y'a gas zilizopo eneo husika n'a kufanya ukakasi piano ambayo ni harufuuuu
Ndio maana tunashauriwa tusikae chini y'a miti wakati wa usiku n'a tuwe makini kuchagua miti y'a kupanda majumbani Kwakuwa ipo miti inazalisha carbon nyingi sana wakati wa usiku n'a hii ni hatari kwa afya
 
we ukisikia jiongeze...
fuata iyo harufu utakutana na msosi mzuri kinoma ambao hujawah kuuona, unajisevia bila wasi..
 
Ni nyoka anapiga miayo na salvation ya nguvu baada ya kupata harafu ya kitoweo murua sasa sijui kitoe ndo wewe unayehisi harufu ya huo wali ama kuna mnyama mwingine aliyeingia kwenye anga za joka hilo.
Ukisikia hiyo kitu ondoka swiftly kama Zitto Kabwe alivyofanya kule Shinyanga.
Kama si nyoka anakuwa ni mnyama mdogo sie Wafaransa twamwita "Nyilili".
 
Ni kweli ni nyoka huwa anatoa harufu hiyo au nyingine nyekuvutia akiwa kwenye mawindo ya kutafuta chakula na hasa chatu ndio mwenye sifa hiyo kwa kuna baadhi ya wanyama hufuata hiyo harufu ndio hapo anawadaka ila hii harufu ya ndio watu tumeikariri sana pia hutoa harufu ya beberu kama kuna mbuzi akiifuata anamdaka.
Muda mwengine utasikia haruf ya rost ya viaz mbatata tena vile vyenye unga haswaa
 
Du jamani siyo nyoka wala majini bali huwa ni harufu ya miti furani hivi tatizo sijui jina ila hiyo miti inatoaga matunda madogo madogo meusi hivi, miti hiyo ikifika mida ya jioni hususani jua kinapozama huwa inatabia ya kutoa hiyo harufu
 
Kuna wakati ukisoma bandiko na kufuatilia majibu yake unatamani ukutane na wote walio husika ku_comment kwenye post husika.
 
Du jamani siyo nyoka wala majini bali huwa ni harufu ya miti furani hivi tatizo sijui jina ila hiyo miti inatoaga matunda madogo madogo meusi hivi, miti hiyo ikifika mida ya jioni hususani jua kinapozama huwa inatabia ya kutoa hiyo harufu

Hapo kwenye muda jaribu kurekebisha this things happens at anytime, even though there is many plants that irritate at night..

Sorry for using English language its becuase of hili bunge hapa , its changes my personality
 
ni kweli mkuu inakera sana! Watu wengi hawajui wapi watumie R na wapi L,tuendelee kuwakosoa tu bila kuchoka.
Kwan tatizo nini hapo mbona wewe nae umechapia neno la kigeni?hiyo imaging yako mimi naona yote sawa tu siku ziende maisha yenyewe ya kulemba muandiko yapo wapi?
ni kweli mkuu inakera sana! Watu wengi hawajui wapi watumie R na wapi L,tuendelee kuwakosoa tu bila kuchoka.
Kwan tatizo nini hapo mbona wewe nae umechapia neno la kigeni?hiyo imaging yako mimi naona yote sawa tu siku ziende maisha yenyewe ya kulemba muandiko yapo wapi?
 
Back
Top Bottom