Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,412
Babu alisema huyo ni nyoka anajivua gambaHabari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr



