HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,692
- 6,371
Mond mwenyewe analifahamu hilo Yule mwamba wa Chitoholi sio poa Kuandika na Kuimba
Ray zero kabisa, ana bahatisha sana, hana uwezo wa kutunga mistari matokeo yake anaishia kukopiRAYVANNY hamna kitu pale...
Ila konde boy aaaah nakusapoti jamaaa ni kama jinni hvi...
Japo mfupi
Kinambeba ni remix ila hamna kitu pale yule jamaaRay zero kabisa, ana bahatisha sana, hana uwezo wa kutunga mistari matokeo yake anaishia kukopi
Salama Kabisa kiongoziLegendary salama???