BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga).
Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa kuwachukua kwa njia haramu kutoka kwa Alikiba chini ya King’s Musi huku akiwaahidi mambo mazuri zaidi.
Baada ya kusitishwa mkataba, Killy na Cheed walikimbilia BASATA ambapo walimtuhumu Harmonize kwa kukatisha mikataba yao bila kufuata utaratibu.
Wameiambia BASATA kuwa Harmonize hakuwasiliana nao rasmi kwa kuwaandikia sababu na barua za kuvunja mkataba, pia walimtuhumu kukataa kuwapa haki Miliki zao na password za mitandao ya kijamii pamoja na majukwaa mengine ya utiririshaji muziki yaliyokuwa yakisimamiwa na Konde Music.
=============================
BASATA advised the parties to engage but after four unsuccessful meetings, the council stepped in and faulted Harmonize for dragging the matter. On November 1, 2022 the council issued an ultimatum to Harmonize to end the standstill to which he compiled.
“We have officially and legally terminated the contracts in writing, which was our main tussle, and now we are free to work and negotiate with other partners which wasn’t the case [before],” said Saty Sembe, who manages the two artistes.
“We have also been given passwords to our social media accounts and other platforms which are our major source of income. What is now remaining is Tsh10 million (about Ksh520,000 each) that each artiste is to receive as a result of the label breaching the contract. It's agreed the amount can be paid later.”
This development comes just four years after Harmonize forced his way out of his former label WCB Wasafi. He had signed a 10-year contract deal but opted out on the fifth year. Harmonize bought out the remainder of his contract, paying the Diamond Platnumz-owned label a sum of Tsh500 million (equivalent to about Ksh22.5 million at the time).
NATION MEDIA