Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

Malipo hayatokani na ulichoingiza bali binding contract mliyosainiana, mkataba wa Konge gang unasema msanii akivunja mkataba anailipa label shilingi bilioni moja na label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi regardless.
Sasa hapo label imevunja mkataba hivyo inapaswa kuwalipa wasanii hizo milioni kumi kwa kila msanii, nothing more nothing less.
Oh
 
Yale mandinga yake na demu wake, yale ni hela tupu zile. Mchizi mkwanja anao. Awamalize tu madogo wakaendelee na maisha yao.
Yale mandinga yako mikononi mwa serikali mpaka yatakapolipiwa ushuru,dogo matumizi yamezidi mapato.
 
Back
Top Bottom