Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,042
1667400862983.png

Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga).

Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa kuwachukua kwa njia haramu kutoka kwa Alikiba chini ya King’s Musi huku akiwaahidi mambo mazuri zaidi.

Baada ya kusitishwa mkataba, Killy na Cheed walikimbilia BASATA ambapo walimtuhumu Harmonize kwa kukatisha mikataba yao bila kufuata utaratibu.

Wameiambia BASATA kuwa Harmonize hakuwasiliana nao rasmi kwa kuwaandikia sababu na barua za kuvunja mkataba, pia walimtuhumu kukataa kuwapa haki Miliki zao na password za mitandao ya kijamii pamoja na majukwaa mengine ya utiririshaji muziki yaliyokuwa yakisimamiwa na Konde Music.
1667400784716.png

=============================

BASATA advised the parties to engage but after four unsuccessful meetings, the council stepped in and faulted Harmonize for dragging the matter. On November 1, 2022 the council issued an ultimatum to Harmonize to end the standstill to which he compiled.

“We have officially and legally terminated the contracts in writing, which was our main tussle, and now we are free to work and negotiate with other partners which wasn’t the case [before],” said Saty Sembe, who manages the two artistes.

“We have also been given passwords to our social media accounts and other platforms which are our major source of income. What is now remaining is Tsh10 million (about Ksh520,000 each) that each artiste is to receive as a result of the label breaching the contract. It's agreed the amount can be paid later.”

This development comes just four years after Harmonize forced his way out of his former label WCB Wasafi. He had signed a 10-year contract deal but opted out on the fifth year. Harmonize bought out the remainder of his contract, paying the Diamond Platnumz-owned label a sum of Tsh500 million (equivalent to about Ksh22.5 million at the time).

NATION MEDIA
 
View attachment 2405162

View attachment 2405159

Walipane kadri mitakaba waliyosaini inavyoainisha.
 
Hawa madogo waliondoka kwa ali kiba hawakulipa chochote leo hii wanataka wamkomboe mmakonde wa watu
 
Lugha ngeni za nini kwenye mziki wa nyumban.
 
Hawa madogo waliondoka kwa ali kiba hawakulipa chochote leo hii wanataka wamkomboe mmakonde wa watu
Kwani Kiba ndiyo alivunja mkataba, wao ndiyo waliamua kuvunja mkataba na hatujui mkataba ulikuwa na makubaliano yapi.
Toka lini mtu kudai kilichoandikwa ndani ya mkataba(signed contract) imekuwa ni kumkomoa mtu? Kwani Harmonize hana hiyo 20 million ya kuwalipa hao vijana? Mbona danadana zimekuwa nyingi?
 
Kiba na konde gang huko ni kijiweni sioni wanachosaidiwa wasanii.
 
Hawajui kuimba harmonize awashtaki kwa kwakutumia vifaa vyake , chakula na kumpotezea muda wake .

Hao wakalime kuimba hawajui .

Ni vilaza .

Hata huyo angella hajui kuimba nikilaza tu.

Wanampotezea harmonize time.

Walipwe wasepe au wamlipe wasepe na wanyang'anywe gari zao
 
Unalopoka sana mkuu, mengine unayosema sio kweli
 
Kiba na konde gang huko ni kijiweni sioni wanachosaidiwa wasanii.
You're very right, inaonekana wanawatumia wasanii kama 'ngazi' ili waonekane ni big and successful artists kwa kumiliki labels. Kwanza hawana pesa za kuweza kuwafanyia promo, wao wenyewe wanashindwa kujifanyia promo na kitu pekee kinachowasaidia locally ni mambo ya 'utimu' lakini nje ya mipaka ambapo 'utimu' umeshindwa kuvuka mipaka ni zero kabisa.

Diamond alianzisha label kwa nia ya dhati kwamba anataka kusaidia artists wakue na wafanikiwe na kwa hilo anastahili pongezi.
 
Hawajui kuimba harmonize awashtaki kwa kwakutumia vifaa vyake , chakula na kumpotezea muda wake .

Hao wakalime kuimba hawajui .

Ni vilaza .

Hata huyo angella hajui kuimba nikilaza tu.

Wanampotezea harmonize time.

Walipwe wasepe au wamlipe wasepe na wanyang'anywe gari zao
Yeye Harmonize mbona alikuwa anaimba utumbo kule BSS lakini pale WCB akatengenezwa for four years, label kabla ya kumsaini msanii inakuwa imeona 'potential' ndiyo maana inamsaini.
It's OK wameshindwa kuwekeza kwa wasanii sasa huu utata mpaka malalamiko BASATA kisa ni milioni ishirini tu? Waombe hata mkopo benki wawalipe maisha mengine yaendelee.
 
Si tunaambiwa Angela anaimba wasanii wengine wa kike wakasome , kumbe hajui naye
 
Yeye Harmonize mbona alikuwa anaimba utumbo kule BSS lakini pale WCB akatengenezwa for four years, label kabla ya kumsaini msanii inakuwa imeona 'potential' ndiyo maana inamsaini.
It's OK wameshindwa kuwekeza kwa wasanii sasa huu utata mpaka malalamiko BASATA kisa ni milioni ishirini tu? Waombe hata mkopo benki wawalipe maisha mengine yaendelee.
Wale ni visiki vya mpingu .
Wametrainiwa na kiba hadi basi ila wakatoka zeroo

Ngoja nikuambie kitu tofauti ya lebel ya diamond na zingine wao wanataka pesa .

So wanapambana kujua huyu aimbe. Nini watu wapende na wampende sasa kwa zingine wewe ni star imba basi hawaangalia vocal yake ikoje na aimbaje ili atoke unaona zuchu hakuja anajua kuimba kiivyoo ila walimtrain na kuhakikisha mazoezi yake katika uimbaji ni bora ndio maana ukitoka wcb unalipa hela zakutosha maana wanajua unachoenda nachoo ni mali .

Unaona kiba walipotaka kuondoka walienda tu hawakulipa kitu maana wao hawajaingiza kitu niwanapeleka tu studio wanasema imba basi wanaimba .

Ila wcb wao wanang'ang'ana upate faida . Na wao pia wapate faida hawajaingiza faida yeyote kwa harmonize still wanataka pesa walipwe .
Walipwe kile ambacho waliingiza faida nacho sio ml 20 tu hela sio choo hela ni inasotewa eti sio kutoa tu kama maji ya kilimanjaro kha
 
Kumbuka huo mkataba haukuandikwa na Cheed au Killy bali Konde wamejifunga wenyewe so wanatakiwa kuheshimu mkataba walio uandaa wenyewe wawalipe vijana.
 
You're very right, inaonekana wanawatumia wasanii kama 'ngazi' ili waonekane ni big and successful artists kwa kumiliki labels. Kwanza hawana pesa za kuweza kuwafanyia promo, wao wenyewe wanashindwa kujifanyia promo na kitu pekee kinachowasaidia locally ni mambo ya 'utimu' lakini nje ya mipaka ambapo 'utimu' umeshindwa kuvuka mipaka ni zero kabisa.
Diamond alianzisha label kwa nia ya dhati kwamba anataka kusaidia artists wakue na wafanikiwe na kwa hilo anastahili pongezi.
Leo Kings wame muongeza mwengine.
 
Wale ni visiki vya mpingu .
Wametrainiwa na kiba hadi basi ila wakatoka zeroo

Ngoja nikuambie kitu tofauti ya lebel ya diamond na zingine wao wanataka pesa .

So wanapambana kujua huyu aimbe. Nini watu wapende na wampende sasa kwa zingine wewe ni star imba basi hawaangalia vocal yake ikoje na aimbaje ili atoke unaona zuchu hakuja anajua kuimba kiivyoo ila walimtrain na kuhakikisha mazoezi yake katika uimbaji ni bora ndio maana ukitoka wcb unalipa hela zakutosha maana wanajua unachoenda nachoo ni mali .

Unaona kiba walipotaka kuondoka walienda tu hawakulipa kitu maana wao hawajaingiza kitu niwanapeleka tu studio wanasema imba basi wanaimba .

Ila wcb wao wanang'ang'ana upate faida . Na wao pia wapate faida hawajaingiza faida yeyote kwa harmonize still wanataka pesa walipwe .
Walipwe kile ambacho waliingiza faida nacho sio ml 20 tu hela sio choo hela ni inasotewa eti sio kutoa tu kama maji ya kilimanjaro kha
Malipo hayatokani na ulichoingiza bali binding contract mliyosainiana, mkataba wa Konge gang unasema msanii akivunja mkataba anailipa label shilingi bilioni moja na label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi regardless.

Sasa hapo label imevunja mkataba hivyo inapaswa kuwalipa wasanii hizo milioni kumi kwa kila msanii, nothing more nothing less.
 
Back
Top Bottom