Mkuu wewe na utimamu wako wa akili hivi hayo mashairi ni umbea????Nyimbo za umbea umbea si mpenzi.
Me must sing,act ,be, work
Like a real men .
Si nyimbo umbea
Harmonize fix zote za Domo anazijua, si walikuwa wote Pa1 mwanzo, acha wavurushane ipo siku watatoa ya siri ambayo hatukupaswa kuyajua.Hamornize ndio saiz ya diamond, akileta majungu mmakonde nae anarusha yake, ila all in all Harmonize mkali sanaaaaa
Harmonize fix zote za Domo anazijua, si walikuwa wote Pa1 mwanzo, acha wavurushane ipo siku watatoa ya siri ambayo hatukupaswa kuyajua.
Na mnafiki balaa hadi namkubari
Stay tuned utaona tyuuuh.
Hamjui Diamond alichokipitia kwa huyo mzee. Alikuwa anakachukulia ka-Diamond kama kachokoraa tu. Mpaka mama yake na huyo mzee ambae ni bibi yake Diamond mzaa baba,alikuwa hataki kumuona Diamond nyumbani kwao. Unaambiwa muda mwingine ilikuwa Diamond aking'aa tu hapo kwa bibi anafukuzwa kama mbwa mbele ya huyo mzee,kwa kuambiwa maneno makali. Inaumiza sana. Piga picha wewe ndio mtoto wa miaka 13 hivi,usie mbele wala nyuma,unaishi na mamako tu kwenye maisha ya uswazi. Siku unaona aaah...! Ngoja nimtokee tu mshua mwenye maisha nafuu,unafika huko unamkuta mshua,lakini unatimuliwa na mamake kama kitoto kichokoraa tu,inaumaje hapo?. Mimi ni mtu wa kusamehe sana ili maisha yaendelee,ila kwa huyo mzee siwezi kusamehe. Kama anaoza miguu,hayo hayo nyie hamjui,ndio malipo anayapata hapa hapa duniani kutokana na matendo yake. Diamond upo mzigo wake ataubeba. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyeweDiamond anafurahi kumuona Baba yake akiteseka mtaani wakati uwezo wa kumsaidia anao mkubwa sana. Diamond utakufa mapema kabla ya huyo mzee wako mwenye maisha magumu mtaani.
Baba ni kulea sio kuweka mbegu na kusepa,Kuna kitu mnakosea sana nyie bendera fuata upepo, huyo baba yake asingekuwa na huyo mama yake angezaliwa?
Wakati huyo baba alimtelekeza Mondi kipindi hicho,Hivi ikitokea huyu mzee katangulia mbele za haki kweli Diamond na mama yako watakwenda msibani? na akipewa maiki atasema nini?
Baba ni baba tu hata asipokua na msaada kwako, huyu Diamond ajitathimini kwani.
Nasubiria kumwona Abdul rapper kwenye video ya Wapo,kama Diamond rapper wa kwenye Ushamba.Babaake Diamond nae anapenda kutiatia huruma.
Kama hivyo anazinguaUnaamua kumsaidia kijana anae mkaza mama ako hiyo akili matope?
Acha mkuu baba hawezi kuwa baba tu tuseme ana kazi na mshahara yeye ni pombe na mademu we ukitoboaa utamuona kama babaBaba ni baba tu hata asipokua na msaada kwako, huyu Diamond ajitathimini kwani.