Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

Mama angu hawezi kwenda coz hayamuhusu ila domo ataenda maana hadi hapo huwa anapewa pesa na domo sema sio kiwango cha showoff nyingi na ana watoto wengine zaidi ya domo
Hivi ikitokea huyu mzee katangulia mbele za haki kweli Diamond na mama yako watakwenda msibani? na akipewa maiki atasema nini?
 
Hamornize ndio saiz ya diamond, akileta majungu mmakonde nae anarusha yake, ila all in all Harmonize mkali sanaaaaa
 
Mnamlaumu bure mama wa watu mbona hamumlaumu baba yake kama kweli ni baba yake!! Wazungu wana msemo kuwa "Maternity is a fact but paternity is a probability""!! Mnajuaje huyo mnaesema ni baba yake,mama Diamond amemwambia mwanae kuwa sio biological father wake hivyo asishuhulike nae!!

Atakuwa amwambia Anko Shamte ndio babake yan biological father right ?
 
kwa hyo kwakuwa hakuna bond ndio aachwe ateseke? au anasubiri akifa ndio amuhudumie?


If I don't feel you, then I don't have any business with you. Mateso yako mimi yananihusu nini wakati you're no body to me. Kwasababu wewe kichwa maji huwezi kuelewa hii message
 
Mipasho ndiyo Mingi.

Someni historia za kina Robert Wangila(R.I.P)...Mwanamasumbwi kutoka Kenya.
Paul Ince aliyekipiga Liverpool kwa mafanikio.
Huyu Marcus Rashford anayekipiga Manchester kwa sasa unaambiwa hata kwenye cheti cha kuzaliwa hakuna jina la Babake..

Wakati mwingine ni vizuri sisi kina Baba kubeba Majukumu ya Watoto wetu kwa asilimia zote tangu awali.
 
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.

namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote"


Wapo Lyrics – Harmonize


(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi


Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao


Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo


Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi


Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe


Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)



wasalaam wana jamvi
Kwanini unafikiri ujumbe huu ni kwa Diamond?Bongo ina watu Millioni 55!sio Mond pekee asiye na mahusiano mazuri na Dingi yake,
Huyu dogo naye,ifike sehemu akue,ameishajitoa WCB,sasa mambo ya kutafuta Kiki kwa mgongo wa Mond aaache,kwanini asiwe Kama Rich movoko,nyimbo zake huwezi kuzikuta Zina chembechembe yoyote ya vijembe kwa Mond,
 
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.

namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote"


Wapo Lyrics – Harmonize


(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi


Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao


Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo


Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi


Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe


Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)



wasalaam wana jamvi
hivi ni mimi tu niliyedhani huu uzi ungehusu ile message harmonize kaposti Instagram???
Hivi ulikuwa na ulazima gani wa kuandika heading kama hiyo???
Kwa nini usingesema harmonize aimba kuhusu umuhimu wa wazazi???
Hivi huoni hata aibu???
Aisee hii ndio bongo mmhhh
 
Back
Top Bottom