Harmonize ameuliza, tumjibu!

Harmonize ameuliza, tumjibu!

kitu kizuri ni kwamba maadam umezaliwa utakufa tu mkuu na usiku wa kwanza kaburini utaelewa uliumbwa au ulievolve kutoka kwenye mti, subiri..
Kwahiyo kufa ndio kunamthibitisha huyo Mungu ndio kaniumba?
Hivi hizo akili za kushikiwa hua mnazibebaje kwenye bongo zenu anakufa sisimizi,panzi,ngedere,nzi kwahiyo nao wakifa wanaanza kujua kua Mungu yupo?
Watu wanakufa kama zinavyokufa nyota huko angani hivyo ni nature ya kitu chochote katika universe law acheni vitisho vya kitoto Aisee
Mungu,Mungu,Mungu Hata huyo Mungu Atakufa kama vinavyokufa vingine maana katika Sheria za Ulimwengu Kila kitu lazima kife Kwa Muda mwafaka Hata Huu mfumo wa jua letu utakuja kufa mbeleni Yaani supernova!

Tusitishane na hekaya za kiabunuwasi hapa!
 
huko tunaita ni kujipa matumaini mkuu wewe niamini ninachokwambia utakufa na utakutana na yale yote uliyoshindwa kuyaamini ukiwa hai, kumjua yeye hakuthibitishwi na kifo hata maisha yako tu ni alama tosha angalia moyo wako unavyopiga unavyopata rizki yako unaumwa na kupona unaishi na kukua mpaka unakufa hayo yamepangwa kwa ustadi wa hali ya juu na hayajatokea burebure..
 
Dini na imani ni chakula cha roho na kinga dhidi ya 'negative energy'

Kupata pesa na utajiri ni jitihada za akili na nguvu.

Wala usijaribu kukebei dini na imani kwa kisingizio cha pesa na utajiri..

Daima usifanye hilo kosa la kudharau dini na imani. Huo utajiri na mafanikio utapuputika.
Unajua mtu masikini ni rahisi kumhasi mungu.
Hata huko kwenye nyumba za ibada wanaenda tuu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Sasa unasema Mungu hayupo pumzi unayovuta unaitoa wapi, na si ajabu hiyo pumzi akaichukua mda huu, watu wakikusanyika huku wakisema marehemu tulikuwa naye jana tu leo hatunaye,

hiyo pumzi siku akihihitaji ndo utajua kuwa yupo, siku akimtuma malaika mtoa roho ukiwa umetazamana nae face 2 face kwa mara ya Kwanza akiichomoa roho yako na kusepa nayo akiipeleka kwa Muumba.
Mungu hana uwezo wa kuchukua roho yangu!
Mimi nitakufa kama vile tu watu wa dini mnavyokufa.
Huenda nitakufa kwa ajali, magongwa n.k

Lakini siyo kwamba mungu atamtuma israeli.
Vifo vyote vina sababu, ajali, magonjwa n.k
 
Mwambieni BWANA anasema hivi

14 Mmesema, Kumtumikia Mungu hakuna faida; na, Tumepata faida gani kwa kuyashika maagizo yake, na kwa kwenda kwa huzuni mbele za Bwana wa majeshi?

15 Na sasa twasema ya kwamba wenye kiburi ndio walio heri; naam, watendao uovu ndio wajengwao; naam, wamjaribuo Mungu ndio waponywao.

16 Ndipo wale waliomcha Bwana waliposemezana wao kwa wao. Naye Bwana akasikiliza, akasikia; na kitabu cha ukumbusho kikaandikwa mbele zake, kwa ajili ya hao waliomcha Bwana, na kulitafakari jina lake.

17 Nao watakuwa wangu, asema Bwana wa majeshi, katika siku ile niifanyayo; naam, watakuwa hazina yangu hasa; nami nitawaachilia, kama vile mtu amwachiliavyo mwanawe mwenyewe amtumikiaye.

18 Ndipo mtakaporudi, nanyi mtapambanua kati ya wenye haki na waovu, na kati ya yeye amtumikiaye Mungu na yeye asiyemtumikia.
Malaki 3:14-18
 
huko tunaita ni kujipa matumaini mkuu wewe niamini ninachokwambia utakufa na utakutana na yale yote uliyoshindwa kuyaamini ukiwa hai, kumjua yeye hakuthibitishwi na kifo hata maisha yako tu ni alama tosha angalia moyo wako unavyopiga unavyopata rizki yako unaumwa na kupona unaishi na kukua mpaka unakufa hayo yamepangwa kwa ustadi wa hali ya juu na hayajatokea burebure..
Na Mimi nakwambia utakufa na hutakutana na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu hizo ni hekaya za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian hazina ukweli wowote hao mnaowaita Mungu ni jamii za Annunaki wa kale ni pale watu wa kale wakashindwa kujua nao ni viumbe wa kawaida kama walivyo wao ila wanatoka garaxy za Mbali huko wakaamua wawaite Mungu Hata Babu yenu wa bandia Abraham baba ya Wayahudi aliwaahusudu kama miungu viumbe Hao Kwa sababu nae alitokea Kwenye jamii za waashuru wa kale waliocollaborate na viumbe hivyo na vikawapa ujuzi na maarifa ya Hali ya juu na wakianzisha civilization za kale,Leo nyie mmekopi hekaya hizo za kina ibrahim na kuzimeza kama zilivyo mkidhani Kila mtu ataendelea kua mtumwa na mjinga
Hapana nimeamka haabudiwi kiumbe yeyote hapa Mimi ndie Mungu mkuu wa maisha yangu!
 
Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!

Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Kama hauna cha kuchangia ni busara kukaa tu kimya ndugu si lazima kila uzi uchangie,,
 
Na Mimi nakwambia utakufa na hutakutana na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu hizo ni hekaya za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian hazina ukweli wowote hao mnaowaita Mungu ni jamii za Annunaki wa kale ni pale watu wa kale wakashindwa kujua nao ni viumbe wa kawaida kama walivyo wao ila wanatoka garaxy za Mbali huko wakaamua wawaite Mungu Hata Babu yenu wa bandia Abraham baba ya Wayahudi aliwaahusudu kama miungu viumbe Hao Kwa sababu nae alitokea Kwenye jamii za waashuru wa kale waliocollaborate na viumbe hivyo na vikawapa ujuzi na maarifa ya Hali ya juu na wakianzisha civilization za kale,Leo nyie mmekopi hekaya hizo za kina ibrahim na kuzimeza kama zilivyo mkidhani Kila mtu ataendelea kua mtumwa na mjinga
Hapana nimeamka haabudiwi kiumbe yeyote hapa Mimi ndie Mungu mkuu wa maisha yangu!
haya mkuu subiri mimi nasubiri..
 
Huyu dogo toka aongezeke uzito kapungua akili!

Hakuna tafsiri ya moja kwa moja Kati ya kumuomba Mungu na kufanikiwa kiuchumi

Kutokana na uzito wa tumbo lake alidhani labda mafanikio kwenye ulimwengu wa roho Ni pesa, nyumba magari mazuri mali., n.k. "HELL NO!"

Kupata au kukosa Ni makadirio ya Muumba wetu kwa watu wake "Qadar"

Anasema Mwenyezi Mungu katika Qur'an tukufu Anampa ampendaye na anamnyima ampendaye" hi Ni kwa sababu azijuazo yeye aliyetuumba
 
haya mkuu subiri mimi nasubiri..
Usubiri nini wewe survive duniani hapa hakuna kiumbe tegemezi ambaye atakupa free lunch maisha ni mapambano until your last breath mkuu,ukifa umekufa huna Kwa kwenda Kwa sababu kabla ya kuzaliwa hukuwa sehemu yoyote nyingine ni hekaya tu na kua mtumwa wa kujitesa na kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo na hakitokwepo
Survive yourself nigga!
(In Ricky James voices)
 
Maandiko yote ni michongo ya wazungu hakuna cha ziada. Swali wali waliokufa kabla ujio wa ukristo kupitia wamisionari na uislam kupitia waarabu na biashara ya utumwa. WATAHUKUMIWAJE
 
Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!

Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Hongera yako

Ngoja nikufungue kidogo labda naweza kukumbushana kitu

Binafsi mm ni msomaji wa biblia Ila nikaona haitoshi nikazama kwenye Qur'an.

Ukisoma hivi vitabu viwili utagundua kuwa adui mkubwa wa mungu ni makafiri na watu wanao kufuru

Quran inachukizwa sana na watu wanao kufuru pamoja na makafiri

Biblia nayo ni ivo ivo

Mungu wa kwenye biblia sio mungu wa kwenye Qur'an ( usikalili kwamba mungu ni mmoja).

Ukisoma hivyo vitabu viwili hakuna sehem iliyoandikwa ukufuru miungu wengine Ila imejikita kuchukizwa na wanaokufuru mungu wao..

Biblia
.Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho mtakatifu hawatasamehewa.
Mathayo 12:31

Quran
2:39 - Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu.
 
Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Shetani mwenyewe anakiri MUNGU yupo na ana nguvu! Rejea kisa cha Mussa na Farao, kuna dhambi ambayo Farao alikua anaitenda kwa kujiita ye ni mungu hii dhambi hata shetani aliamua kumkataa Farao akamtokea live kumhubiria kua Mungu wa kweli yupo ila sie yeye mpuuzi na mwendawazimu (Farao).

Wewe endelea na kuamini unachokiamini ila ipo siku isiyojulikana utathibitisha mwenyewe na hutapata nafasi hata punje ya kutengua hizi kauli zako.
 
Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!

Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Yawezekana hauko sawa ila hujajitambua. Nikushauri tu, waone watu unaoamini wana maadili (kiimani) wakupe nasaha, itakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom