GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,191
Reaction score
8,393
Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu,
Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache,

power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa hapa for years tu come, Right kama Nyerere angekuwa walau na element za Viongozi wetu Hawa wa Leo basi kama taifa tusingefika hapa tulipo

tuache show off
 
Sa100 ameharibu na anazidi kuharibu nchi hii, bahati mbaya wachache wanaofaidika na utawala wake wameisaliti nchi na kujali zaidi matumbo yao.
Mama HAFAI!!.
Ukifanya hata utafiti mdogo tu huyu mama hakubaliki na masikini wengi hapa nchini.
 
Hao wanaitwa Wahuni! Na ndiyo watakao itawala nchi mpaka 2030. Kuna mtu hapo atabakia tu kuwa ni kivuli cha hao Wahuni wachache watakao muweka madarakani kwa kutumia fedha zilizo tokana na biashara ya madawa ya kulevya, ujangili, ufisadi, rushwa, wizi, ubadhirifu, nk.
 
Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu,
Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache,

power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa hapa for years tu come, Right kama Nyerere angekuwa walau na element za Viongozi wetu Hawa wa Leo basi kama taifa tusingefika hapa tulipo

tuache show off
mtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbele
 
CCM bila mafisadi hawatoboi, hvy hvy kwa mafisadi bila ccm hawatoboi.

Ndo mana watu wakija na mawazo mbadala kama NRNE kuna wapumbavu wanapinga mana wanajua watafikiwa.

Mbaya zaidi nchi yetu watu wameshazoea kubembelezwa, ndo mana tulipompata JPM vilio vilikuwa vingi.
 
Screenshot 2025-08-12 at 21.17.01.png
 
Matako kwwli wewe kusonga mbele ni kukumbatia majizi na mafisadi wafuasi wa CCM wa sasa mna akili mavi sana vichwa vimejaa funza, na ninadhani ni kwa sababu wengi wa wafuasi wa CCM wa sasa ni waislam
hamuwezi kuiondoa ccm kwa matusi,hamna plan,hamna mikakati,mmekalia majungu,uongo,kutukana na ujinga
 
mtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbele
MKuu kama una familia basi kumbuka kwamba wao wana maisha mengine zaidi yako baada ya leo...Kama unatetea uovu kwa kudhani kwamba hicho ulichonacho na unachofaidi kwasababu ya kutetea uovu, kwamba kitawanufaisha hata huko mbeleni, basi ukumbuke pia kuwa Mungu ndie apangae hatima zetu....
 
hamuwezi kuiondoa ccm kwa matusi,hamna plan,hamna mikakati,mmekalia majungu,uongo,kutukana na ujinga
Hahahaa we kweli Tako, nadhani unajua fika asiye na plan na ambaye akishindwa kwenye hoja na akishikwa kalio vizuri anakimbilia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, tume ya uchaguzi na mahakama ili kupata msaada, nadhani unalijua hilo vizuri kabisa na umesha mjua asiye na plan tako wewe.
 
Huo ubavu wa kuwawajibisha wafanya biashara wakubwa wanao kwepa kodi unatoka wapi?nchi itaendeleo kuumiza wananchi wachini hawa kwa tozo na kodi za hovyo hovyo huku hawa matajiri na wafanya biashara wakizitumia kodi hizo kupiga madili na tender haramu serikalini kujilimbikizia pesa.
 
mtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbele
Sawa Wasonge tu ila hili taifa ni watu wote sio la Genge la wachache nadhani Mliona Chuma kilivo hangaika na hawa wahuni, Rais anapata Kila atakacho Ili Kulinda interest ya Wengi na Sio Cartel ndogo ya wahuni
 
Back
Top Bottom