Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,413
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo.
Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo.

Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa na uhakika kwamba siku moja angekuja kuwa Rais wa nchi.
Jambo moja ambalo linajirudiarudia kwenye utawala ni kuwa kila mtawala mpya anapoingia watu huachwa midomo wazi na kutoamini kuwa Fulani kweli amekuwa Rais au Mfalme.
Hii ni kiashiria kuwa utawala wa mwanadamu unatoka kwa Mungu mwenyewe.

Kikawaida Mungu huwainua wale ambao wengi huwaona hawana sifa za kimwili kuwa katika nafasi Fulani kubwa na kuwanyima wale wanaoonekana wanasifa za kimwili machoni pawatu.

Ni watu wangapi unawajua wanaakili na sifa Bora kabisa lakini wanazidiwa na kuongozwa na wale unaowaona hawana sifa za kuongoza au watawala?

Nirudi kwenye hoja. Kama wewe ni mwanasiasa mchanga na unandoto kubwa basi itakupasa uanze kufuatilia Kisa cha Daudi kwa Ukaribu Sana.

Wasifu wa Daudi kwa ufupi ni kama ifuatavyo;

1. Lastborn kwenye Familia ya Yese Babaake mwenye watoto nane.

2. Mwenye umbo dogo, mwenye Sura nzuri, na rangi nyekundu.

3. Kazi yake ilikuwa uchungaji wa mifugo ya Babaake.

4. Vipaji; Alikuwa mwanamuziki(muimbaji, mtunzi wa ushairi, na mpigaji kinubi)

5. Ujuzi wa ziada, alikuwa mpiganaji lakini ambaye hakuwa na sifa za kujiunga na jeshi.

6. Alitoka kwenye Familia ya kipato cha kawaida. Alipenda kujiita Mtoto wa Maskini.

7. Sifa za ndani. Alikuwa na AKILI, HEKIMA NA BUSARA Sana.
8. Alikuwa mpole na Mchamungu.

Hizo ni sifa za Daudi kabla hajawa Mfalme.

Harakati zake za Kisiasa kuwania utawala na kuwa Mfalme;

1. Daudi anapakwa mafuta Kisiri na Nabii Samweli.
Alipakwa Mafuta ili awe Mfalme ilhali tayari alikuwepo Mfalme anayetawala. Yaani ni sawa sasa hivi Rais Samia yupo Madarakani alafu atawazwe kisiri Rais mwingine.
Ukisoma kisa hiki utaona Nabii Samweli ndiye huyohuyo aliyempaka mafuta Mfalme Sauli aliyepo madarakani.

Wakati Mungu anamtuma Nabii Samweli Kumpaka mafuta Daudi ili awe mfalme badala ya Mfalme Sauli. Samweli anaogopa kuuawa na Mfalme Sauli.
Kuogopa ni sifa ya kibinadamu ambayo hat manabii wanayo.
Nabii Samweli anamwambia Mungu, ni kweli umenituma nikampake Daudi mafuta awe Mfalme lakini naogopa kuuawa na Mfalme Sauli atakapoipata habari hii.

Mungu anampa maarifa na mbinu ya kwenda kumpaka mafuta Daudi bila Sauli kujua kwa haraka.
Hapa tunajifunza kuwa kuwa MTU wa Mungu, hata kwa kiwango cha Nabii haimaanishi usitumie Akili kujilinda na kujihami.
Na Mungu anataka utumie akili alizokupa kulinda baraka ya Uhai aliokupa.
Fikiria Nabii Samweli ametumwa na Mungu, lakini anaogopa mfalme sauli aliyempaka Mafuta yeye mwenyewe.
Ingekuwa ni Mtu mpumbavu angesema naenda hivyohivyo, siogopi kima kwani nimetumwa na Mungu.
Kutumwa na Mungu sio kisingizio cha kutotumia akili.

Daudi anatawazwa kuwa Mfalme Kisiri.

2. Daudi licha ya kutawazwa lakini anakuwa na subira ya kusubiri wakati wa Mungu kuwa Mfalme. Hakumsumbua Mfalme Sauli.
Kisa kinaonyesha Daudi tangu amepakwa mafuta awe mfalme amekaa uraiani zaidi ya miaka na miaka.
Hakuwa na haraka, subira.

Huenda ingekuwa mwenzangu na miye hapa tayari nimeshapakwa mafuta na ninajua ninaenda kuwa mfalme/Rais tayari ungeniona naanza kusumbuana na utawala wa Samia. Lakini Daudi kimya. Kama sio yeye.

Mpaka anakuja kumpiga Goliathi mwaka mmoja baadaye. Kapiga Goliathi na bado akasota zaidi ya Miaka na miaka bila kuwa Mfalme.

3. Kutenda kwa Akili na Busara.
Siasa zinahitaji akili nyingi na busara za kutosha. Hasa ukiwa underdog. Daudi kwenye huu mtanange alikuwa underdog wakati anatakiwa kumtoa Mfalme aliyeko madarakani.
Embu fikiria hapo wewe unawezaje kumshinda Rais Samia umtoe ili wewe uwe Raia badala yake.
Wakati wewe ni maskini usiye na kitu Rais anakila kitu. Anajeshi, anapesa, na vyombo vyote vya dola vilivyopo kisheria na vile ambavyo visivyo kisheria ambavyo huvijui vyote vipo chini yake. Unamshindaje?
Kimsingi haiwezekani kumshinda.

Daudi tayari anakura ya Mungu lakini kumbuka hata Mfalme Sauli aliyepo madarakani alikuwa na hiyohiyo Kura ya Mungu. Sema baada ya Mfalme Sauli kukoseakosea ndipo Mungu akahamisha Kura kwa Daudi.

Licha ya Mungu kuhamishia Kura kwa Daudi lakini Kisa kinaeleza kuwa Daudi alitenda kwa akili na busara mambo yake siku zote.
Hiyo inatufundisha sisi hasa wale wanasiasa wenye ndoto ya kuwa watawala kuwa hata uwe na kura ya Mungu na sifa zingine za ziada ni lazima ujue kutenda kwa akili mingi na Busara. Ingawaje usiache HAKI.

4. Usipambane na Utawala.
Acha utawala upambane na wewe kutokana na kazi zako njema. Lakini usifanye intentionally kupambana na serikali.
Hakuna aliyewahi kupambana na serikali akashinda isipokuwa Nabii Musa, tena katika mazingira maalumu.

Daudi yeye licha ya kujua yeye ni mfalme mtarajiwa hakutumia nafasi hiyo kumchallenge mfalme aliyepo madarakani.
Hakuwa na dhamiri ya kupambana na mfalme. Zaidi alikuwa akimsaidia mfalme aliyepo madarakani ili atawale vizuri.
Lakini kumbe vile anavyomsaidia mfalme sauli ndivyo anavyopata umaarufu kwa watu na jambo hilo linamfanya Mfalme sauli kupatwa na wivu.
Hiyo inapelekea Mfalme Sauli kufanya majaribio yasiyopungua matatu kutaka kumuua Daudi.

Hali hiyo ya kumsaidia mfalme imejitokeza pia kwa Yusufu ambaye baadaye alikuja kuwa Mfalme. Pia ilijitokeza kwa Musa alipokimbilia Nchi ya Kushi, naye akawa mfalme huko Kushi.
Hakuwahi kupambana na Mfalme kwa dhamiri.

Visa vyote hivyo vinatufundisha ukiwa underdog hupaswi kupambana na ufalme hasa wa taifa lako kwani uwezekano wa kushinda ni kama sifuri. Labda katika mazingira maalumu na hiyo huwaga ni exceptional Cases

4. Kuwa na Intelejensia Kali(Ujasusi).
Ukiwa smart, mwenye busara, usiyetaka kushindana, mwenye dhamiri safi, mwenye haki. Lazima watu watajua tuu. Hata kama kuna ubaya unapangwa juu yako watatokea watu kutoka hukohuko ubaya unapopangwa watakujulisha ukimbie.
Pia kwenye hivyohivyo vikao vya kukuangamiza watatokea watu watakaokutetea kwa mfalme au Mtawala kwa namna yoyote ilimradi usipatwe na madhara makubwa hasa ya kugharimu uhai wako.

Daudi anataka kuuawa na Mfalme Sauli, kwa mkono wa Mfalme mwenyewe Daudi amekoswa mara tatu. Huku Yonathani Mtoto wa Mfalme Sauli akihusika kumpa taarifa Daudi kuwa ajichunge Sana kwani Mfalme Sauli yuataka kumuua.

Mara zingine, Mikali binti mfalme anamtorosha Daudi kabla wauaji waliotumwa na Babake ndiye mfalme Sauli kuja kumuua Daudi.

Ni muhimu kuzipata taarifa za kintelejensia kwa usalama wako.
Lakini lazima ujue kuzipata taarifa hizo ni kazi ngumu na kama ni pesa utahitajika pesa nyingi Sana. Lakini ukiwa mwenye haki na dhamiri safi ni hakika utajikuta unapata watu wema watakaokuokoa. Au haohao wabaya watakusaidia kukuokoa.

5. KUKIMBIA KUJIOKOA NI MBINU MUHIMU IKIBIDI.
Kukimbia kujiokoa sio dhambi wala sio uoga.
Kwenye Masha yako jukumu namba moja katika maisha yako ni kulinda uhai wako kwa gharama yoyote ikibidi kuvunja Sheria. Uhai Kwanza mengine ndio yanafuata.
Usije ukawa mjinga wa kujitoa mhanga na kudhulumu maisha yako kienyeji. Fanya ufanyavyo lakini uhai ubaki nao.

Lazima ujue, mashujaa hawauawi bali shujaa huishi.
Daudi ni shujaa kwa sababu ameyaokoa maisha yake mara kadhaa kwa mbinu mbalimbali. Ikiwemo kukimbia ikibidi.
Mashujaa wengine ni kama Musa, Ibrahim, n.k.

Sio unaona maisha yako yapo hatarini badala usepe unakuwa kama mjingamjinga.
Kumbuka Mungu mwenyewe hawi radhi na wajingawajinga.

Labda itokee katika mazingira maalumu.

Kufikia hapo Taikon Master sina la ziada.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
 
tatizo kizazi cha sasq kinataka kupata matokeo na sifa kwa wakati mmoja na mda mfupi,na bila ya mikakati yeyote zaidi ya vurugu.

adui kula nae sahani moja ukipata nafasi muwekee sumu afe au asinzie.
 
HARAKATI ZA DAUDI KUWANIA UFALME ZINATUPA SOMO GANI KATIKA SIASA NA NAMNA YA KUEPA KUUAWA?

Uchambuzi mzuri sana...

Taikon Master, kwa kweli sina la ziada...

Na kwa kuwa nailewa vizuri historia ya Daudi huyu na mashujaa wengine ktk Biblia kina Ibrahim, Musa, Yeremia na babalao ni Yesu Kristo mwenyewe...

Huyu (Yesu Kristo) yeye alitawazwa mfalme wa ulimwengu wa wafalme wote kabla hata hajazaliwa..

Alipozaliwa, akiwa infant kabisa, akatangazwa kuwa huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi...

Vita ikaanza kuhakikisha hawi. Lakini aliishi kwa hakima na maarifa mengi ya Roho Mtakatifu na kila mtego wa mauti aliushinda kwa njia hizi ulizozijadili hapa...

Kuna wakati Yesu Kristo alikimbia/toroka na kwenda kuishi sehemu nyingine kuepa maadaui zake waliokuwa wakimtafuta wasimuue kabla ya wakati...

Alitumia hekima ya hali ya juu (ya mbinguni) kuharibu na kubomoa mifumo yote ya uovu ya tawala za dunia hii...

Sasa tuna watu kama kina Mdude Nyagali, they know exactly kuwa wanapambana na mifumo ya uovu isiyo HAKI lakini mitaani wanaishi maisha ya kizembe yasiyo na tahadhari yoyote matokeo yake wanavamiwa na kukamatwa kama kuku aliyeloa mvua na kuchinjwa...!

Mungu atupe hekima na neema tuwashinde adui zetu..
 
Sahihi kabisa mtibeli ili upindue utawala uliopo lazima angalau uungwe mkono kwa namna mbalimbali na baadhi ya watawala waliopo mfano Jeshi na kpata taarifa nyeti. Kama ambavyo Daudi alipata taarifa za kuuliwa kwake kutoka kwa Yonadhani
 
Sahihi Kabisa.
Vingenvyo ni ngumu Sana
 
Uchambuzi mzuri sana...

Taikon Master, kwa kweli sina la ziada...

Na kwa kuwa nailewa vizuri historia ya Daudi huyu na mashujaa wengine ktk Biblia kina Ibrahim, Musa, Yeremia na babalao ni Yesu Kristo mwenyewe...

Huyu (Yesu Kristo) yeye alitawazwa mfalme wa ulimwengu wa wafalme wote kabla hata hajazaliwa..

Alipozaliwa, akiwa infant kabisa, akatangazwa kuwa huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi...

Vita ikaanza kuhakikisha hawi. Lakini aliishi kwa hakima na maarifa mengi ya Roho Mtakatifu na kila mtego wa mauti aliushinda kwa njia hizi ulizozijadili hapa...

Kuna wakati Yesu Kristo alikimbia/toroka na kwenda kuishi sehemu nyingine kuepa maadaui zake waliokuwa wakimtafuta wasimuue kabla ya wakati...

Alitumia hekima ya hali ya juu (ya mbinguni) kuharibu na kubomoa mifumo yote ya uovu ya tawala za dunia hii...

Sasa tuna watu kama kina Mdude Nyagali, they know exactly kuwa wanapambana na mifumo ya uovu isiyo HAKI lakini mitaani wanaishi maisha ya kizembe yasiyo na tahadhari yoyote matokeo yake wanavamiwa na kukamatwa kama kuku aliyeloa mvua na kuchinjwa...!

Mungu atupe hekima na neema tuwashinde adui zetu..

Naam Mkuu
 
Yeyeto aliyemuua Mdude, hana akili hata kidogo au niseme ni mpumbavu wa wapumbavu. Mdude hakuwa tishio kwa utawala hata kidogo. Mdude kwanza siyo wale watu waliokuwa na ushawishi au kuwavuta watu wengi. Kama laana zipo kweli basi muuaji wa Mdude ametafuta laana za bure.
 
Uko sahihi...

Kikubwa ni kuelewa tu kuwa, serikali hii chini ya CCM ya Bi Samia Suluhu Hassan a.k.a Bi Chura Kiziwi iko "so desperate" kujihakikishia kubaki madarakani..

Inamwogopa yeyote mwenye sauti ya kuikosoa hata kama ni chura analia huko kwenye dimbwi la maji...

Ogopa sana serikali iliyo kwenye desperation mode....

Maana yake ni kwamba, due to their desperation wanaweza kuzitumia silaha hizo blindly kumuumiza kila wanayemdhani na kumuona kuwa he's or she's against them...

Hii ndiyo hali ya sasa...

Kwamba, CCM kwa sasa ni kama vichaa waliokabidhiwa rungu. Na kwa sababu hii, for sure kabisa, watampiga kila wanayekutana naye mbele...
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo.
Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo.

Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa na uhakika kwamba siku moja angekuja kuwa Rais wa nchi.
Jambo moja ambalo linajirudiarudia kwenye utawala ni kuwa kila mtawala mpya anapoingia watu huachwa midomo wazi na kutoamini kuwa Fulani kweli amekuwa Rais au Mfalme.
Hii ni kiashiria kuwa utawala wa mwanadamu unatoka kwa Mungu mwenyewe.

Kikawaida Mungu huwainua wale ambao wengi huwaona hawana sifa za kimwili kuwa katika nafasi Fulani kubwa na kuwanyima wale wanaoonekana wanasifa za kimwili machoni pawatu.

Ni watu wangapi unawajua wanaakili na sifa Bora kabisa lakini wanazidiwa na kuongozwa na wale unaowaona hawana sifa za kuongoza au watawala?

Nirudi kwenye hoja. Kama wewe ni mwanasiasa mchanga na unandoto kubwa basi itakupasa uanze kufuatilia Kisa cha Daudi kwa Ukaribu Sana.

Wasifu wa Daudi kwa ufupi ni kama ifuatavyo;

1. Lastborn kwenye Familia ya Yese Babaake mwenye watoto nane.

2. Mwenye umbo dogo, mwenye Sura nzuri, na rangi nyekundu.

3. Kazi yake ilikuwa uchungaji wa mifugo ya Babaake.

4. Vipaji; Alikuwa mwanamuziki(muimbaji, mtunzi wa ushairi, na mpigaji kinubi)

5. Ujuzi wa ziada, alikuwa mpiganaji lakini ambaye hakuwa na sifa za kujiunga na jeshi.

6. Alitoka kwenye Familia ya kipato cha kawaida. Alipenda kujiita Mtoto wa Maskini.

7. Sifa za ndani. Alikuwa na AKILI, HEKIMA NA BUSARA Sana.
8. Alikuwa mpole na Mchamungu.

Hizo ni sifa za Daudi kabla hajawa Mfalme.

Harakati zake za Kisiasa kuwania utawala na kuwa Mfalme;

1. Daudi anapakwa mafuta Kisiri na Nabii Samweli.
Alipakwa Mafuta ili awe Mfalme ilhali tayari alikuwepo Mfalme anayetawala. Yaani ni sawa sasa hivi Rais Samia yupo Madarakani alafu atawazwe kisiri Rais mwingine.
Ukisoma kisa hiki utaona Nabii Samweli ndiye huyohuyo aliyempaka mafuta Mfalme Sauli aliyepo madarakani.

Wakati Mungu anamtuma Nabii Samweli Kumpaka mafuta Daudi ili awe mfalme badala ya Mfalme Sauli. Samweli anaogopa kuuawa na Mfalme Sauli.
Kuogopa ni sifa ya kibinadamu ambayo hat manabii wanayo.
Nabii Samweli anamwambia Mungu, ni kweli umenituma nikampake Daudi mafuta awe Mfalme lakini naogopa kuuawa na Mfalme Sauli atakapoipata habari hii.

Mungu anampa maarifa na mbinu ya kwenda kumpaka mafuta Daudi bila Sauli kujua kwa haraka.
Hapa tunajifunza kuwa kuwa MTU wa Mungu, hata kwa kiwango cha Nabii haimaanishi usitumie Akili kujilinda na kujihami.
Na Mungu anataka utumie akili alizokupa kulinda baraka ya Uhai aliokupa.
Fikiria Nabii Samweli ametumwa na Mungu, lakini anaogopa mfalme sauli aliyempaka Mafuta yeye mwenyewe.
Ingekuwa ni Mtu mpumbavu angesema naenda hivyohivyo, siogopi kima kwani nimetumwa na Mungu.
Kutumwa na Mungu sio kisingizio cha kutotumia akili.

Daudi anatawazwa kuwa Mfalme Kisiri.

2. Daudi licha ya kutawazwa lakini anakuwa na subira ya kusubiri wakati wa Mungu kuwa Mfalme. Hakumsumbua Mfalme Sauli.
Kisa kinaonyesha Daudi tangu amepakwa mafuta awe mfalme amekaa uraiani zaidi ya miaka na miaka.
Hakuwa na haraka, subira.

Huenda ingekuwa mwenzangu na miye hapa tayari nimeshapakwa mafuta na ninajua ninaenda kuwa mfalme/Rais tayari ungeniona naanza kusumbuana na utawala wa Samia. Lakini Daudi kimya. Kama sio yeye.

Mpaka anakuja kumpiga Goliathi mwaka mmoja baadaye. Kapiga Goliathi na bado akasota zaidi ya Miaka na miaka bila kuwa Mfalme.

3. Kutenda kwa Akili na Busara.
Siasa zinahitaji akili nyingi na busara za kutosha. Hasa ukiwa underdog. Daudi kwenye huu mtanange alikuwa underdog wakati anatakiwa kumtoa Mfalme aliyeko madarakani.
Embu fikiria hapo wewe unawezaje kumshinda Rais Samia umtoe ili wewe uwe Raia badala yake.
Wakati wewe ni maskini usiye na kitu Rais anakila kitu. Anajeshi, anapesa, na vyombo vyote vya dola vilivyopo kisheria na vile ambavyo visivyo kisheria ambavyo huvijui vyote vipo chini yake. Unamshindaje?
Kimsingi haiwezekani kumshinda.

Daudi tayari anakura ya Mungu lakini kumbuka hata Mfalme Sauli aliyepo madarakani alikuwa na hiyohiyo Kura ya Mungu. Sema baada ya Mfalme Sauli kukoseakosea ndipo Mungu akahamisha Kura kwa Daudi.

Licha ya Mungu kuhamishia Kura kwa Daudi lakini Kisa kinaeleza kuwa Daudi alitenda kwa akili na busara mambo yake siku zote.
Hiyo inatufundisha sisi hasa wale wanasiasa wenye ndoto ya kuwa watawala kuwa hata uwe na kura ya Mungu na sifa zingine za ziada ni lazima ujue kutenda kwa akili mingi na Busara. Ingawaje usiache HAKI.

4. Usipambane na Utawala.
Acha utawala upambane na wewe kutokana na kazi zako njema. Lakini usifanye intentionally kupambana na serikali.
Hakuna aliyewahi kupambana na serikali akashinda isipokuwa Nabii Musa, tena katika mazingira maalumu.

Daudi yeye licha ya kujua yeye ni mfalme mtarajiwa hakutumia nafasi hiyo kumchallenge mfalme aliyepo madarakani.
Hakuwa na dhamiri ya kupambana na mfalme. Zaidi alikuwa akimsaidia mfalme aliyepo madarakani ili atawale vizuri.
Lakini kumbe vile anavyomsaidia mfalme sauli ndivyo anavyopata umaarufu kwa watu na jambo hilo linamfanya Mfalme sauli kupatwa na wivu.
Hiyo inapelekea Mfalme Sauli kufanya majaribio yasiyopungua matatu kutaka kumuua Daudi.

Hali hiyo ya kumsaidia mfalme imejitokeza pia kwa Yusufu ambaye baadaye alikuja kuwa Mfalme. Pia ilijitokeza kwa Musa alipokimbilia Nchi ya Kushi, naye akawa mfalme huko Kushi.
Hakuwahi kupambana na Mfalme kwa dhamiri.

Visa vyote hivyo vinatufundisha ukiwa underdog hupaswi kupambana na ufalme hasa wa taifa lako kwani uwezekano wa kushinda ni kama sifuri. Labda katika mazingira maalumu na hiyo huwaga ni exceptional Cases

4. Kuwa na Intelejensia Kali(Ujasusi).
Ukiwa smart, mwenye busara, usiyetaka kushindana, mwenye dhamiri safi, mwenye haki. Lazima watu watajua tuu. Hata kama kuna ubaya unapangwa juu yako watatokea watu kutoka hukohuko ubaya unapopangwa watakujulisha ukimbie.
Pia kwenye hivyohivyo vikao vya kukuangamiza watatokea watu watakaokutetea kwa mfalme au Mtawala kwa namna yoyote ilimradi usipatwe na madhara makubwa hasa ya kugharimu uhai wako.

Daudi anataka kuuawa na Mfalme Sauli, kwa mkono wa Mfalme mwenyewe Daudi amekoswa mara tatu. Huku Yonathani Mtoto wa Mfalme Sauli akihusika kumpa taarifa Daudi kuwa ajichunge Sana kwani Mfalme Sauli yuataka kumuua.

Mara zingine, Mikali binti mfalme anamtorosha Daudi kabla wauaji waliotumwa na Babake ndiye mfalme Sauli kuja kumuua Daudi.

Ni muhimu kuzipata taarifa za kintelejensia kwa usalama wako.
Lakini lazima ujue kuzipata taarifa hizo ni kazi ngumu na kama ni pesa utahitajika pesa nyingi Sana. Lakini ukiwa mwenye haki na dhamiri safi ni hakika utajikuta unapata watu wema watakaokuokoa. Au haohao wabaya watakusaidia kukuokoa.

5. KUKIMBIA KUJIOKOA NI MBINU MUHIMU IKIBIDI.
Kukimbia kujiokoa sio dhambi wala sio uoga.
Kwenye Masha yako jukumu namba moja katika maisha yako ni kulinda uhai wako kwa gharama yoyote ikibidi kuvunja Sheria. Uhai Kwanza mengine ndio yanafuata.
Usije ukawa mjinga wa kujitoa mhanga na kudhulumu maisha yako kienyeji. Fanya ufanyavyo lakini uhai ubaki nao.

Lazima ujue, mashujaa hawauawi bali shujaa huishi.
Daudi ni shujaa kwa sababu ameyaokoa maisha yake mara kadhaa kwa mbinu mbalimbali. Ikiwemo kukimbia ikibidi.
Mashujaa wengine ni kama Musa, Ibrahim, n.k.

Sio unaona maisha yako yapo hatarini badala usepe unakuwa kama mjingamjinga.
Kumbuka Mungu mwenyewe hawi radhi na wajingawajinga.

Labda itokee katika mazingira maalumu.

Kufikia hapo Taikon Master sina la ziada.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Mimi naamini utawala unao patikana kwa haki hutoka kwa Mungu utawala usio patikana kwa haki haudumu, (wa dhuruma), huu hautoki kwa Mungu
 
Uko sahihi...

Kikubwa ni kuelewa tu kuwa, serikali hii chini ya CCM ya Bi Samia Suluhu Hassan a.k.a Bi Chura Kiziwi iko "so desperate" kujihakikishia kubaki madarakani..

Inamwogopa yeyote mwenye sauti ya kuikosoa hata kama ni chura analia huko kwenye dimbwi la maji...

Ogopa sana serikali iliyo kwenye desperation mode....

Maana yake ni kwamba, due to their desperation wanaweza kuzitumia silaha hizo blindly kumuumiza kila wanayemdhani na kumuona kuwa he's or she's against them...

Hii ndiyo hali ya sasa...

Kwamba, CCM kwa sasa ni kama vichaa waliokabidhiwa rungu. Na kwa sababu hii, for sure kabisa, watampiga kila wanayekutana naye mbele...
Duh 🙄 !
 
Back
Top Bottom