Happy birthday to you super dear!!watu8

Happy birthday to you super dear!!watu8

Happy birthday my dear.May your day be super bright and super special.
charminglady bring the champagne out and the good wines tucelebrate sie.
Kwa hisani ya measkron na watoto wooote wa watu8

Hebu Zahra White naomba unitafutie besti yangu amu popote pale alipo...ukimuona mwambie aniletee keki kama ya mwaka jana!!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday ndugu yangu baba mbalimbali mama mbalimbali watu8
Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha uishi kuwasha mishumaa 1001
Happy birthday mkuu
 
done
yupo arusha kwa lecturer wake anafuga kuku.
Mupigie
 
Hahahahaha Zahra White bana lol

Fumanizi.limrishaje maana tupo kwen party apa kusogoa muhimu
King'asti dawa hako iko jikoni....nenda jukwaa la utambulisho kuna ujumbe wako...unadhani kuishi miaka mingi kunakuja hivi hivi bila mazoezi mtambuka?
 
ananipenda.
Hawezi kuniacha.
Ana hasira kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Mie nilishapigwa ban ya jukwaa la wageni kaka. Nikikutwa huko talaka itanihusu ujue
Hahahahaha Zahra White bana lol

Fumanizi.limrishaje maana tupo kwen party apa kusogoa muhimu
King'asti dawa hako iko jikoni....nenda jukwaa la utambulisho kuna ujumbe wako...unadhani kuishi miaka mingi kunakuja hivi hivi bila mazoezi mtambuka?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday ndugu yangu baba mbalimbali mama mbalimbali watu8
Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha uishi kuwasha mishumaa 1001
Happy birthday mkuu

Kaka mkubwa shukrani sana kwa salamu zako za kheri na kunitakia fanaka.

Mungu na atende sawasawa na dua zako mkuu...Amen
 
Ukishagonga life span ya nchi uliyopo ujue safari ni any minute. Ndo mkopo huo, dakika za nyongeza

Lol...ila hii mambo ya life expectancy, ni kama unajua kuwa ikifika umri fulani basi red light inakuwa imewaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom