Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Ooh!!! asante sana patna...ulivyotaja kwa kirefu hilo jina ndio nimekumbuka nishalisikia sana Wapo Radio.
Swadaktaa Patna.
Kama vipi we sogea tu!
Ooh!!! asante sana patna...ulivyotaja kwa kirefu hilo jina ndio nimekumbuka nishalisikia sana Wapo Radio.
.....Zimewasili shem, thanx
mishumaa yote hiyo? atatusumbua bana.
Shukrani sana shemeg wa mimi...ila shem wewe ndio wa kukosea jina langu kweli lol
Acha kunionea gere banaa....
Happy birthday papaa!
haaahaaha, umenitenga sana shem mpaka jina nilikuwa nshaanza kulisahau. shem wewe wa kunifanyia hivi!!! lol
miaka 1000, si utatusumbua kukuanika juani kila siku! shughuli zetu tutafanya sa ngapi?
Kitu gani hicho......? Mmh