Happy birthday to you super dear!!watu8

Happy birthday to you super dear!!watu8

City Christian Centre.....karibu na Mzumbe University, maeneo ya upanga.

Karibu sana.

Ooh!!! asante sana patna...ulivyotaja kwa kirefu hilo jina ndio nimekumbuka nishalisikia sana Wapo Radio.
 
Hey binti yangu kipenzi, hebu sogea kwa daddy akulishe pande la keki na akuambie asante kwa salamu za besidei.



Ooh!!! what a surprise....daddy says thank you...na anakupenda sana!!!

Asante dady unajua basidei yngu ni lini!
 
sorry daddy nimeshindwa kuja kwenye kaparty hako nitakuwekea zawadi yako msimu ujao 26dec ijayo
kwani si unamjua mkweo M....R... alivyo mwalangani amenikatalia nsije kwenye pati na kamera ile uliyoona ilikuwa
ni yake kaichukua si unajua tena mtoto wako niko kwenye mateso ya ndoa, nashindwa namna ya kufanya baba nisaidie niko njia panda kwenye giza nene nakatazwa nisiende ngomani, kwenye kitchen party za kimtaa, sendoff na harusi ndo kabisaaaa hapo sijataja kusali ndo napigwa viboko utadhani niko segerea kumbe ndoa daddy yani imenichosha natamani kutoka ila nikikumbuka maneno yanayosema ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU HAWEZI TENGANISSHA nabaki naumia moyoni huku nikigugumia nikikumbuka home nawe ulivyopokea mahari ya huyu mchaga ndo nashinda nalia tu sijui nifanyaje?
Tarehe hii hii ya leo ndio nililetwa duniani na bibi yako yule wa kule Makandana.




Asante sana binti wa mimi kwa salamu hizi za kheri...



Haswaaa....usisahau kubeba kamera
 
Mwaaah!!! binti wa mimi, mependa sana maneno yako ya kheri.

Usiasahau kumbeba mumeo kuja naye ukumbini eenh...

Tulikuja!

Happy Birthday ba'mkwe! Hivi si ushagonga 69 sasa eeh?



LONG LIVE mkuu!
 
Aisee watu8 nna kesi na wewe ujue....
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia nyumbani kwa baba kuna makao mengi, huyo mkwe kama anakuendesha kama gari bovu, rudi nyumbani uje upumzike...
 
Last edited by a moderator:
Miaka 101 nani atafanya kazi ya kumuanika? Acha utani. I hope paw wangu hatofika 75. Hayo ni mateso tu manake saa hizo pensheni ushakula ukasaza.

Wooi....happy birthday my dear Watu. Si unajuanga nnavyokumaindigi eeh.
My love, daddy dearest Nobel husbands prize winner... Happy birthday... May you live to blow 101 candles mume wangu watu8
 
Last edited by a moderator:
Miaka 101 nani atafanya kazi ya kumuanika? Acha utani. I hope paw wangu hatofika 75. Hayo ni mateso tu manake saa hizo pensheni ushakula ukasaza.

Wooi....happy birthday my dear Watu. Si unajuanga nnavyokumaindigi eeh.

Ila besti kuna wazee katika umri huo wanakuwa na nguvu zao ujue...ingawa ni kwa neema tu.

Ahsante sana mpendwa kwa salamu zako za fanaka na kheri...nami nakumaindigi sana besti yangu, barikiwa
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya kuishi kwa mkopo nani anataka? Hahaha enjoy uzee banaa, manake ujana nao unachosha.
Ila besti kuna wazee katika umri huo wanakuwa na nguvu zao ujue...ingawa ni kwa neema tu.

Ahsante sana mpendwa kwa salamu zako za fanaka na kheri...nami nakumaindigi sana besti yangu, barikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom