Happy birthday to you super dear!!watu8

Happy birthday to you super dear!!watu8

Hongera Mkuu!
Utulie sasa maana umri ndio umekutupa mkono hivyo!
 
Happy birthday brother!! kuwa na miaka mingi zaidi! with happines and ful of succes
 
HAPPY BIRTHDAY MKUU watu8 hakika huyu mkuu amewakaribisha watu sana hapa jamvini. Hongera na Mungu akuzidishie siku nyingi za kuishi hapa duniani Amen.
 
Last edited by a moderator:
My love, daddy dearest Nobel husbands prize winner... Happy birthday... May you live to blow 101 candles mume wangu watu8

Umri wa mwanadamu ni miaka 70 , akiwa na nguvu ni miaka 80, baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili, Kwahiyo 101years, atakuwa ameishi miaka 21 ya ubatili
 
Last edited by a moderator:
Umri wa mwanadamu ni miaka 70 , akiwa na nguvu ni miaka 80, baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili, Kwahiyo 101years, atakuwa ameishi miaka 21 ya ubatili

hii sayansi ya wapi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom