Happy birthday to you super dear!!watu8

Happy birthday to you super dear!!watu8

Shukrani sana mtu wangu wa nguvu...asante pia kwa zawadi ya mapulizo.

1472250_3665740179128_1303880093_a.jpg


watu8
 
Last edited by a moderator:
Shemkwe nafurahi sana kupokea zako salamu za kheri...tukutane LTHP ukule japo piece ya keki.

Happy born day shemkwe watu8

ukoo mkubwa huu...makutano ni wapi?
 
Last edited by a moderator:
KWANI DADDY BIRTHDAY NI TAREHE NGAPI VILE?
NILISHASAHAU MIE NIKUMBUSHE KKDOGO
HAPPY BIRTHDAY DADDY watu8

Tarehe hii hii ya leo ndio nililetwa duniani na bibi yako yule wa kule Makandana.

Asante sana binti wa mimi kwa salamu hizi za kheri...

sasa sherehe si ni pale LTHP au sio dady watu8

Haswaaa....usisahau kubeba kamera
 
Last edited by a moderator:
Mwaaah!!! binti wa mimi, mependa sana maneno yako ya kheri.

Usiasahau kumbeba mumeo kuja naye ukumbini eenh...

On your birthday i wish you much pressure and joy,
i hope all of your wishes come true.

May each hour and minutes be filled with delight,
and your birthday be perfect for you.

*~*HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY DADDY*~*
LOVE YOU MINGI
MWAAAAAH!!!!
 
Mi nimependa tu keki hii uliyoiandaa....sijui umeinunua wapi wewe!!!

Happy birthday my dear.May your day be super bright and super special.
charminglady bring the champagne out and the good wines tucelebrate sie.
Kwa hisani ya measkron na watoto wooote wa watu8
 
Last edited by a moderator:
Asante sana binti yangu...karibu pande la keki ushushie na juisi baridiii!!!

Karibu kwa maombi maalumu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya maisha yako....kesho pale CCC Upanga. Pia kutakuwepo na praise and worship session ikiongozwa na kundi la Next Level.

Barikiwa!
 
Karibu kwa maombi maalumu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya maisha yako....kesho pale CCC Upanga. Pia kutakuwepo na praise and worship session ikiongozwa na kundi la Next Level.

Barikiwa!

CCC ndio wapi hapo patna?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom