Hongera Baba mwenye ukwasi wa mabinti , hapa mjengoni .
Hongera Mkuu!
Utulie sasa maana umri ndio umekutupa mkono hivyo!
hii sayansi ya wapi mkuu
Happy birthday my dear.May your day be super bright and super special.
charminglady bring the champagne out and the good wines tucelebrate sie.
Kwa hisani ya measkron na watoto wooote wa watu8
View attachment 123457
happy birthday dady
watu8!!wapi dadas Lady doctor
lady furahia, charminglady FirstLady
mkuje na wa ubani wenu tusherehekee!!
Happy birthday
Ankoo nakutafuta sana...simu wajanja walichukua...nichek Kwa SMS...halafu kijana@Watu8 kakua namuofa kubwa moja
ndo nimeingia kakumputa kaligoma kwangu kwani mgao wa umeme umehitilafu hapa
sasa sherehe si ni pale LTHP au sio dady watu8