Happy birthday to you super dear!!watu8

Happy birthday to you super dear!!watu8

On your birthday i wish you much pressure and joy,
i hope all of your wishes come true.

May each hour and minutes be filled with delight,
and your birthday be perfect for you.

*~*HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY DADDY*~*
LOVE YOU MINGI
MWAAAAAH!!!!
 
Darling...thank you so much, tumuombe Mungu anifikishe huko pamoja nawe tushuhudie hata vitukuu wetu....

Much love, mama watoto!!!

My love, daddy dearest Nobel husbands prize winner... Happy birthday... May you live to blow 101 candles mume wangu watu8
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday brother!! kuwa na miaka mingi zaidi! with happines and ful of succes

Kaka mkubwa shukrani sana....hakika Mungu na apokee hiyo dua yako.

happy birthday watu8

Asante sana mama mtawa....barikiwa!

HAPPY BIRTHDAY MKUU watu8 hakika huyu mkuu amewakaribisha watu sana hapa jamvini. Hongera na Mungu akuzidishie siku nyingi za kuishi hapa duniani Amen.

Shukrani sana mkuu, Mungu na ajibu dua yako.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hii zawadi yanikumbusha kama ile ya kwako....ubarikiwe sana rafiki wa mimi!!!

happy birthday watu8........

il_570xN.384505286_64w0.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa siku ya leo! keki wapi mkuu au simba kapakatwa?

Shukrani sana mkuu....

Hiyo keki sijui tuilie wapi mkuu, nadhani Leo Tupo Hapa patafaa sana....
 
View attachment 123457

happy birthday dady
watu8!!wapi dadas Lady doctor
lady furahia, charminglady FirstLady
mkuje na wa ubani wenu tusherehekee!!

Hey binti yangu kipenzi, hebu sogea kwa daddy akulishe pande la keki na akuambie asante kwa salamu za besidei.

Dady happy birthday! keki nimeandaa mwenyewe, hapa tunapamba ukumbi na ss Lady doctor kwa tafrija fupi! ladyfurahia atakuja kuwachukua wewe na mamy measkron

Ooh!!! what a surprise....daddy says thank you...na anakupenda sana!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom