Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
kata tule basi....
au saa ngapi? dress code?
nipo kwenye maandalizi. Filipo tafadhali tafuta ukumbi, mimisa utakuwa idara ya vinywaji ukisaidiana na Arushaone, Slave my kaka utasimamia usafiri pamoja na paka jimmy, Posh na kaizer mtasimamia mziki, Mzee wa Rula na kokutona mtasimamia chakula, YNNAH na FP mtakuwa kwenye mavazi. Lily Flower na da Zinduna mtakuwa kweye kamati ya nidhamu.
teh teh tehhhhh, mavazi, lol!nipo kwenye maandalizi. Filipo tafadhali tafuta ukumbi, mimisa utakuwa idara ya vinywaji ukisaidiana na Arushaone, Slave my kaka utasimamia usafiri pamoja na paka jimmy, Posh na kaizer mtasimamia mziki, Mzee wa Rula na kokutona mtasimamia chakula, YNNAH na FP mtakuwa kwenye mavazi. Lily Flower na da Zinduna mtakuwa kweye kamati ya nidhamu.
thanks Nicas Mtei and amin. Welcome to the party
Happy Birthday my most lovely shem Arabela.
Hivi Arushaone ana taarifa na tukio hili au naye atarusha thread yake, au labda wakati thread hii inarushwa tayari yeye yupo mitaa ya hapo SAHARE-MARYLAND!...ha ha haaaa!
Halafu mbona Arabela hukutuambia juzi juu ya habari hii, hujui kuwa Filipo huwa anatembea na keki kabisa kwenye Noah yake, tayari kwa matukio yoyote ya ghafla!
nipo kwenye maandalizi. Filipo tafadhali tafuta ukumbi, mimisa utakuwa idara ya vinywaji ukisaidiana na Arushaone, Slave my kaka utasimamia usafiri pamoja na pakajimmy, Posh na Kaizer mtasimamia mziki, Mzee wa Rula na KOKUTONA mtasimamia chakula, YNNAH na FP mtakuwa kwenye mavazi. Lily Flower na da Zinduna mtakuwa kweye kamati ya nidhamu.
Wapi party?

Happy Birthday Dear Sisy Arabela, may you live to blow 100 candles, God Bless you Dear.
Happy Birthday Dear Sisy Arabela, may you live to blow 100 candles, God Bless you Dear.