...Happy birthday to MY ARABELA.........

...Happy birthday to MY ARABELA.........

Happy Birthday Arabela! Ni furaha iliyoje kufikia siku ya leo ambayo ni zawadi toka kwa maulana?

Songa mbele na Mwenyezi MUNGU akubariki kwa kila jambo jema!

Happy Bilated Birthday!
 
Last edited by a moderator:
wooow jaman my hubby thanks in a million times. This means alot to me... Thnks for a cake i hope it tastes nyamnyam.. Lets celebrate this together. Mwaaaaah

Mwaaaah...mwaaaah...mwaaaah....
 
Happy Birthday Arabela! Ni furaha iliyoje kufikia siku ya leo ambayo ni zawadi toka kwa maulana?

Songa mbele na Mwenyezi MUNGU akubariki kwa kila jambo jema!

Happy Bilated Birthday!

yani namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya leo. Thanks my dia Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
Arabela,
happy-birthday-quotes-pictures-happy-birthday-wallpaper-with-birthday-quotes-84458.jpg
 
Last edited by a moderator:
wooow jaman my hubby thanks in a million times. This means alot to me... Thnks for a cake i hope it tastes nyamnyam.. Lets celebrate this together. Mwaaaaah
Thanks to my love Arabela
Nakupenda ndio maana nakujali sana!
Happy Birthday tena my swthrt Arabela
Nakuombea maisha mazuri na marefu ili unizalie watoto wazuri kama wewe!
Love you!
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday my most lovely shem Arabela.
Hivi Arushaone ana taarifa na tukio hili au naye atarusha thread yake, au labda wakati thread hii inarushwa tayari yeye yupo mitaa ya hapo SAHARE-MARYLAND!...ha ha haaaa!

Halafu mbona Arabela hukutuambia juzi juu ya habari hii, hujui kuwa Filipo huwa anatembea na keki kabisa kwenye Noah yake, tayari kwa matukio yoyote ya ghafla!

Mkuu bora umesema maana ningesema mimi wangekopi kwa wife!

thanks my shem wa ukwee....yani sikujua kama Filipo ndo mambo yake hayo but that day was special for KOKUTONA.. Ila shema karibu keki

Hayo ndio mambo yangu mpendwa! umejichelewesha mwenyewe tu! Ila hiyo hajapunguza mapendo yetu wala "mpango wetu wa muda mrefu".

Happy birthday kipenzi Arabela
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom