Happy birthday to me

Ina maana kufurahia ujana ni kulala na wanaume?? huh!!!
 
Umri na shule vinahusiano gan???.....
Wapo wenye miaka 50 na wapo diploma sembuse yy 1st year degree!!!
H'day......ingawa lugha ujifunze

Good!!!

Manake hata mimi na miaka yangu 61 ndo kwanza niko mwaka wa kwanza open yunivasite.
 
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Miaka 23 bado unajiona mtoto? Mimi mke wangu akiwa na mika 23 alikuwa tayari na watoto 2.
 
wana Jf vingine tujitahidi kufunika kombe. Haya sasa, mshaitia sumu furaha yake ya leo. miss neddy usisome tena hapa walau kwa leo tu. Heri ya siku ya kuzaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Miaka 23 bado unajiona mtoto? Mimi mke wangu akiwa na mika 23 alikuwa tayari na watoto 2.

Mapacha??? Au vinginevyo wewe utakuwa ni Laigwan la kule Longido!!
 
ahsante nashukuru sana
 
Miss Neddy umezaliwa tarehe moja na Akili Unazo!! kweli tunafanana na mi pia ni mtoto wa mwisho..Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Happy Birth Day twin na inawezekana kabila moja
 
Mtoto mbichiiiiii... Dah Mda umefika wa kujituliza au kujiachia. Ushauri wa mama uwe wa kujituliza sio kila mtu aje kula raha kwako ukabaki na Maumivu. Dats all

ahsanteeeeeeee nimetulia sana
 
waooo...hap birthday ma dear..let me sing a song 4 u...
hap b.day to uuu...
hap b.day to uuu.....
hap b.day dear wewe ...
hap b.day to uuuu.....
I WISH U ALL U WISH 4 URSELF..MAY GOD BLEC U EN ENJOY UR DAY...

ahsante nashukuru sana
 
nashukuru sana ahsanteeeeee
 
Miss Neddy umezaliwa tarehe moja na Akili Unazo!! kweli tunafanana na mi pia ni mtoto wa mwisho..Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Happy Birth Day twin na inawezekana kabila moja

mhhhhhhh inawezekana me mnyamwezi wewe je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…