Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

@Intelligent businessman nasubiri muamala wa keki na lunch hadi dinner on you
emoji3.png
Akichelewa kutuma nitatuma Mimi
 
Yangu Dec uko mzee mwenzangu Mungu azidi kitupa uhai kwahiyo utaileta kutoka Dubai
Nyie mna raha sana, yaani unazaliwa mwezi mmoja na Yesu Kristo 👏👏

Of course, itatoka Dubai. DHL watakuletea hadi uwanjani 🤪
 
Ili wakati mwingine tusipate shida ya kuwasumbua watu wa DHL na Posta kutuma vifurushi vya zawadi, kuna haja uwekage namba ya Halopesa kusindikiza Birthday yako

Happy birthday trudie
Thank you alot ubarikiwe, namba inakuja nijipatie kifurushi changu
 
Nyie mna raha sana, yaani unazaliwa mwezi mmoja na Yesu Kristo

Of course, itatoka Dubai. DHL watakuletea hadi uwanjani
Hahahhah nipo nasubiri kwa hamu kiukweli tuna raha tuliozaliwa Dec
 
Hahahhah nipo nasubiri kwa hamu kiukweli tuna raha tuliozaliwa Dec
Itakulazimu uwaalike majirani zako wote kuimaliza hiyo keki, maana nimeagiza kulingana na urefu wako, imagine ulivyo tolu vile 🤪🏃🏃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom