Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,566 27,097 Oct 14, 2023 #1 Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia Nyani mzee kakwepa mishale mingi Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia Nyani mzee kakwepa mishale mingi Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Leejay49 JF-Expert Member Feb 10, 2023 13,953 42,921 Oct 14, 2023 #2 Happy birthday ciccy Amehlo 🎉🎉😙,, ishi sanaa huna baya🥰😘
Red black JF-Expert Member Nov 29, 2019 3,139 8,111 Oct 14, 2023 #3 amehlo ndio umefikisha 45yrs siyo??
bonjov JF-Expert Member Mar 16, 2015 589 1,432 Oct 14, 2023 #4 HBD kwako Amehlo... Mungu akubariki sana
Donatila JF-Expert Member Oct 23, 2014 7,564 21,586 Oct 14, 2023 #8 Happy birthday Mamy... Msalimie mjomba
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,820 96,479 Oct 14, 2023 #9 Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake...
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake...
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,566 27,097 Oct 14, 2023 Thread starter #11 Leejay49 said: Happy birthday ciccy Amehlo ,, ishi sanaa huna baya Click to expand... Thanks baby sisy
Leejay49 said: Happy birthday ciccy Amehlo ,, ishi sanaa huna baya Click to expand... Thanks baby sisy
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,566 27,097 Oct 14, 2023 Thread starter #12 Red black said: amehlo ndio umefikisha 45yrs siyo?? Click to expand... Acha tu
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,566 27,097 Oct 14, 2023 Thread starter #13 Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... Ndo natafuta mjomba
Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... Ndo natafuta mjomba
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,566 27,097 Oct 14, 2023 Thread starter #14 Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... nipo hapa we nipe location tu
Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... nipo hapa we nipe location tu
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,566 27,097 Oct 14, 2023 Thread starter #15 Zulu man said: Have a great one m...a! Click to expand... Thanks
Leejay49 JF-Expert Member Feb 10, 2023 13,953 42,921 Oct 14, 2023 #16 Amehlo said: Thanks baby sisy Click to expand... Have it all 👏.. one love ❤💋
Zulu man JF-Expert Member Nov 28, 2020 5,221 13,889 Oct 14, 2023 #17 Amehlo said: Thanks Click to expand... Thanks hujaisindikiza na makopa ya upendo ,why mama?😅
Grahams JF-Expert Member Mar 19, 2016 12,508 38,575 Oct 14, 2023 #18 Kama Mashangazi mnakimbiza soko la kuolewa namna hii hadi Slay Queens wanajuta kuwafahamu, basi hakuna haja ninyi kujuta kuitwa maShangazi 🤗 Huku Kijijini tumeandaa Togwa na Mbege kwaajili yako 🤪 Heri ya Kuzaliwa Mkuu Amehlo
Kama Mashangazi mnakimbiza soko la kuolewa namna hii hadi Slay Queens wanajuta kuwafahamu, basi hakuna haja ninyi kujuta kuitwa maShangazi 🤗 Huku Kijijini tumeandaa Togwa na Mbege kwaajili yako 🤪 Heri ya Kuzaliwa Mkuu Amehlo
binti kiziwi JF-Expert Member Aug 4, 2014 9,472 23,846 Oct 14, 2023 #19 Hbd sweetheart. More candles to blow!
financial services JF-Expert Member May 17, 2017 17,200 40,940 Oct 14, 2023 #20 Happy birthday dear, uishi miaka mingi🥳