wish

A wish is a hope or desire for something. Fictionally, wishes can be used as plot devices. In folklore, opportunities for "making a wish" or for wishes to "come true" or "be granted" are themes that are sometimes used.

View More On Wikipedia.org
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

    Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania. Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Aviator addiction; something I don't wish even to my worst enemy

    Sidhani kama Kuna addiction mbaya kama hii tangu nimezifahamu addiction. KUbaya zaidi kumtambua huyu mtu ni ngumu. Inamaliza watu mtaani
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Be very careful what you wish for!

    Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣]. Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  6. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  7. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

  9. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Heshima kwenu, Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ona wenzetu wanavyopenda, I wish tungekuwa kama wao" Ukiamka utanijulisha. Nikaondoka

    Wanawake wana mambo ya kiduanzi sana. Hasa wa miaka hii kwenye ubongo hawana kitu yaani unakuta wana papuchi tu kichwani kumejaa makamasi. Leo nlikuwa na demu wangu sehemu tunapata Supu na Chapati. Yupo busy na simu INSTA na TIKTOK alivyo hana akili amewafollow akina Kajala, Wema, Amberuty...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Sometimes I wish I could talk to one of my close passed away person, to tell me real where they are and how they feel.

    If you ever lost your close person you will know what I mean, the person you used to talk and experience the world together. Now you know that he is no more, now you imagine those conversation you had and it real moves you. You wish you have an ability to know for sure where they are , what are...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais mpendwa sijaona post yako ya kutu wish heri ya x mas

    Mh rais naona amekaa kimya sana. Ameshimdwa hata kutu wish heri ya x mas kweli. Japo hatuna kitu lakini akitu wish tunagarijika
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taa za Toyota Wish New Model hazina mwanga

    Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje. Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
  15. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  16. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  17. Mad Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thriller Movies kwa Weekend: "What you wish For (2023)"

    Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana. Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America alikoalikwa na rafiki yake Jack walioachana miaka 12 iliopita. Ryan anasumbuliwa na madeni yaliyotokana na...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania when you come to Dar es Salaam, do not wish to leave without reaching the fishermen's camp

    morng Its weekend again 26/08/2023 ni siku ya vibe nikualike au nikukumbushe wewe ambaye unatamani kutoka leo na upajui wapi kwa kwenda lakini pia wewe ni new comer in Dar es salaam unahitaji kutoka na ujajua ni sehemu gani mzuri ya kwenda kuondoa stress bas sehemu ni moja tu WAVUVI KEMP pale...
  19. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota wish 7M

    Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
Back
Top Bottom