ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,182
- Thread starter
- #41
Shukran 🙏Hongera.... Be Blessed! mkuu
Shukran 🙏Hongera.... Be Blessed! mkuu
mie nimeamka poa kabisa,nafurahi kusikia kama umeamka salama, sijamuona win-oneNimeamka salama kabisa 😊
Sijui wewe mkuu
Asanteee sana baby girl cha fujobirthday wishes mcute, mlove,msweet,a.k.a twin ake Marcostilone mi nawapenda bureee😻,,, Mungu akusaidie kukamilisha malengo yako yalobaki bby G💕💕
oooh naaanza kuzeekaYupo angalia vizuri utamuona
Shukran sana 🙏Mungu akupe amani ya moyo. Wako na familia yako!
Utu uzima dawaoooh naaanza kuzeeka
safi kama umejaa tele kama pishi la mchelenipo nimejaa teleeeeee
Ukorofi utaacha lini mahi😅🤣Nimecheka kuona watu wanapendana kwenye bundle langu la 350
naaamUtu uzima dawa
lakini mi sio cha fujo ila ni mtu wa heka heka yani sitaki utulivu😅😅😅😅Asanteee sana baby girl cha fujo
Tunakupenda pia 🤗
😅😅😅,, karibu kwenye party ya birthday girl ila utakua mgeni wangu sio wa shessafi kama umejaa tele kama pishi la mchele
Kumbe unajijua diha wangu🤣lakini mi sio cha fujo ila ni mtu wa heka heka yani sitaki utulivu😅😅😅😅
si ndio😅😅😅😅 naachaje kwa mfanoKumbe unajijua diha wangu🤣
hahahahahalakini mi sio cha fujo ila ni mtu wa heka heka yani sitaki utulivu😅😅😅😅
ahsante sana,nimekaribia ,nipe location, nibebe na zawadi kabisa😅😅😅,, karibu kwenye party ya birthday girl ila utakua mgeni wangu sio wa shes