Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa,ila nakukumbusha tu huwezi kujingenga na historia yako, huwezi kufuta kumbukumbu za jana kwenye ufahamu wako,akili na ufahamu haifuti kumbukumbu kirahisi.

Hongera tena...jana ni bora kuliko, na leo ni bora kuliko kesho.
unavyofikili ndo unavyokuwa ukiamua kukubatia historia ya maumivu utajisahau unaaza kujidharau, kujilinganisha na wengine ili ujipe faraja kwamba kumbe mm bora huko ni kujilisha upepo.
Akili haifuti kumbukumbu ila tunadhibiti kumbukumbu za jana zisiwe kikwako leo coz LEO NI BORA KULIKO JANA.
jana imeshapita sina umiliki nayo ila leo naumiliki nayo nitaifanya kuwa bora zaid ya jana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom